kwa wanaojiita mabosi

kwa wanaojiita mabosi

Joined
Jul 12, 2017
Posts
84
Reaction score
77
hawa watu wanaroho mbaya sana japo sio wote ,utakuta mtu amekuajili anakulipa mshara vizuri tu lakin ukinunua kitu lazima nafsi imuume uvaa vizuri napo shinda anahis unamuibia hakumbuki hata unamshahara utembelewe na rafiki zako napo ni shinda ,natolea mfano Mimi nilikuwa na bosi wangu ambaye aliniajili kuuza duka la dawa za binadam tulidumu naye kwa mwaka 1.5 baadae nikapata idea nikafungua saloon huyo jamaa kwa akili yake pamoja na baadhi yawambea wasopenda waone unafanikiwa jamaa akanipinga chini akahis namuibia ,sasa nikaamua kumkomesha nikafungua duka la dawa hapo hapo ,mpaka Leo hii duka lake kafunga ,kwenu mnaojiita mabos mubadilike mnaboa akuone umenenepa napo shinda unaenjoy keki yake ,shame kwenu
 
Sawa. ..mfano kwa mshahara unaopewa na boss labda 100000 ghafla umefungua duka lazima ashangae...
 
Ulikuwa unauza pharmacy na kuandika lugha fasihi unashindwa.
Nyie ndio mnao tuuzia dawa ya pumu badala ya mgongo
Ingawa hujaweka mshahara wako kwa mwaka acha nibaki na swali kichwani
 
Sawa huo ni mtazamo wako lakini sio wote, binafsi mimi napenda mtu wa karibu yangu afanikiwe hii itansaidia mimi niwe na amani zaidi kuwa na mtu anaejitosheleza.Ila kama ntahisi mtu huyo ananiibia na nkathibitisha sntokuvumilia.
 
hawa watu wanaroho mbaya sana japo sio wote ,utakuta mtu amekuajili anakulipa mshara vizuri tu lakin ukinunua kitu lazima nafsi imuume uvaa vizuri napo shinda anahis unamuibia hakumbuki hata unamshahara utembelewe na rafiki zako napo ni shinda ,natolea mfano Mimi nilikuwa na bosi wangu ambaye aliniajili kuuza duka la dawa za binadam tulidumu naye kwa mwaka 1.5 baadae nikapata idea nikafungua saloon huyo jamaa kwa akili yake pamoja na baadhi yawambea wasopenda waone unafanikiwa jamaa akanipinga chini akahis namuibia ,sasa nikaamua kumkomesha nikafungua duka la dawa hapo hapo ,mpaka Leo hii duka lake kafunga ,kwenu mnaojiita mabos mubadilike mnaboa akuone umenenepa napo shinda unaenjoy keki yake ,shame kwenu
Lakini ulikuwa unamuibia kidogo eti....acha wizi mkuu, afu muheshimu boss wako amekupa mtaji na akili
 
Back
Top Bottom