Trafiki mko wapi jamani!

Trafiki mko wapi jamani!

Hewa mkaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
748
Reaction score
386
4668546084976483db0f95b0aa88fc96.jpg
d9af546629ce73ca2acfec409c82318c.jpg

Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!!
Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala hili ni janga na linamaliza Vijana.
 
Watanzania kweli mnaumiza vichwa, vichwa vinauma kwelikweli.

Humu zimejaa nyuzi za kiwananga trafik Leo hii tena mnawahitaji...
Pambana na hali yako jombaa..

Hao ni watu wazma wakijitoa ufahamu majibu watayapata.
 
Munawatukana sana saizi mnawahitaji sawa tu
 
Mwache mwana afanye yake bwana,acha u snitch
 
magari yanakamatwaga kwasababu yanaaribu barabara it's time na hawa wabeba mizigo wa maguta, bodaboda na wanaobebaga migongoni wathibitiwe hawajali afya zao kabisa
 
Acha vijana wachape kazi we kula kulala endelea kupiga soga mitandaoni
 
Acha Vijana wapige mzigo.
Wengine wametoka kimaisha kupitia bodaboda na leo wameshabadili maisha yao.

We unaona msimu huu ni wa kulala???

Hakuna anayeomba ajali mkuu, ni kuomba Mungu tu afike salama.
 
Kwa Mishe za Kijijini huo Mzigo bado.., huko unakuta Fekon 150 inashusha Mzigo wa Kirikuu!!!
 
ningekuwa mkuu wa trafriki ningekataza guta ubungo to city centre
 
Back
Top Bottom