Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Hamjamboni Waheshimiwa
Nimewahi Hudhuria Misiba Kwa Ndugu Zetu Wameru Pande Za Huko Kilala Ili Kutoa Pole Kama Ilivyo Desturi Zetu Watanzania.
Pamoja Na Lengo Hill Nimeweza Jifunza Baadhi Ya Tamaduni Za Watu Hao
-Waombolezaji Huja Na Vyakula Hata Kama Ni Kidogo Namna Gani
-Kazi Ya Kuchinja Ngombe, Kuchuna, Kuandaa, Kupika Na Kugawa Nyama Kwa Waombolezaji Hufanywa Na Vijjana Wa Kiume Tu Tena Kwa Umakini Mkubwa Sana.
-
Utamaduni Huu Sijawahi Ona Kwenye Makabila Mengine Ya Mkoa Huu Au Kanda Hii!
Karibuni