Msaada: Naomba kuelekezwa mahali kanisa la KKKT Kigoma lilipo

Boid

Member
Jun 23, 2016
40
62
kama mada inavyojieleza, kwa wale wenyeji wa Kigoma naomba mnielekeze lilipo kanisa la KKKT, kila nayemuuliza anasema hajui mahali lilipo, mie mgeni hapa na nipo maeneo ya katubuka.
 
Huko wengi wakatoliki na waislamu, hata hvyo uliza vzr haiwezekan kukosa kanisa hapo katubuka, jifunze wanaitaje kwa lugha ya kule ili ukiuliza wakuelewe, ukisema kkkt wanaweza wasikuelewe zaidi ya ukisema kanisa LA waluteri au waprotestants.
 
Tafuta boda boda akupeleke ukiwa hapo mwanga utaliona liko mlimani
 
Huko wengi wakatoliki na waislamu, hata hvyo uliza vzr haiwezekan kukosa kanisa hapo katubuka, jifunze wanaitaje kwa lugha ya kule ili ukiuliza wakuelewe, ukisema kkkt wanaweza wasikuelewe zaidi ya ukisema kanisa LA waluteri au waprotestants.
nilisema waprotestant nikapelekwa ila sio la kilutheri
 
Ukiwa Mwanga maeneo ya Ilipo Zanzibar Lodge,KKKT ipo Kilimani mkono wako wa kulia kama unaenda mjini kuna barabara ya lami ina pandisha kuelekea ulipo mnara mkuu wa TTCL(BSC)
 
Ukiwa kwa mchaga pale Mwanga kuna barabara inapandisha kaskazini ifuate moja kwa moja utaliona kanisa lipo mlimani
Ukishindwa ulizia mkatutu au kwa Mwangoka ni mtu maarufu sana zamani akifanya kazi idara ya maji ni karibu na kanisa hilo
 
Ukiwa Mwanga maeneo ya Ilipo Zanzibar Lodge,KKKT ipo Kilimani mkono wako wa kulia kama unaenda mjini kuna barabara ya lami ina pandisha kuelekea ulipo mnara mkuu wa TTCL(BSC)
kwa hiyo unafuata hiyo barabara ya Zanzibar lodge haid juu kwenye minara kule?
 
kwa hiyo unafuata hiyo barabara ya Zanzibar lodge haid juu kwenye minara kule?
Barabara ya lami iko nyuma kidogo,Zanzibar iko mbele kidogo kama meter 20/30.......Eneo Kanisa lilipo panaitwa "Mugatutu" ulizia hata Boda boda.
 
Huyu mnampoteza. Tafuta au ulizia sehemu iitwayo Mwanga kwa mchaga.Ukishafika eneo hilo tafuta bodaboda. na utakula kulia kwako kama umetokea Mwanga sokoni kuelekea mjini. maneno mengine mwambie bodaboda akupeleke kanisa la walutheri .Utafika tu kwa mchungaji Mtoi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom