Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Igwe wanaJF Kwa wale wenye imani kwa Mungu hawatabisha y'all kwamba sasa nchi inaenda sawa huku viashiria vyote ya kwamba Mungu kaachia baraka zake vikidhihiri. Hakika kwa wananchi wachapakazi...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Maeneo ya makaburi yanatisha, hasa nyakati za usiku na kuibua imani kuwa huenda mizuka huibuka usiku na kufanya mambo yao. Hali hiyo ya utulivu na kutokuwa na harakati nyakati hizo, inatumiwa kama...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Unyama umehamia kwa binadamu kwa Kasi Sina mengi zaid iko wapi haki ya mifugo? Hata kama haijasemwa na mamlaka za kidunia nafsi itusute Kuteketeza vifaranga visivyo na hatia jamani, Wakenya...
2 Reactions
2 Replies
780 Views
MPANDA milima Mashuhuri kwa kutumia Baiskeli Duniani,Juanito Oiarzabal raia wa Hispania na wenzake wawili wameanza safari ya siku tano, kupanda Mlima Kilimanjaro kwa kutumia lango la Kilema ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo amesema atawachukulia hatua wahandisi wazembe wa halmashauri wanaoshindwa kusimamia ipasavyo miradi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umesema ili kuimarisha utendaji na ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri ya biashara yatakayovutia sekta binafsi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ukitembelea nchi kama Namibia,Senegal,Botiswana,zambia utagundua kua kufanya biashara Tanzania ni kupoteza muda mana sera ya kodi Tanzania ni mbaya sana,yaani tanzania unalipa kodi ambayo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Magari mawili yamegongana uso kwa uso katika barabara ya Morogoro Iringa maeneo ya Sangasanga na kusababisha vifo vya watu 4 na wengine majeruhi. Kamanda wa Zimamoto wa Mkoa wa Morogoro...
2 Reactions
93 Replies
12K Views
Unaingia chooni kachoo kadogo kanabana hata kugeuka huwezi.Huu ni uvivu au nini hata kusimama huwezi chooni ukiingia mlangoni mpaka ubebeshwe mfuko wa cement ndo uweze kuingia chooni.[emoji35]...
0 Reactions
3 Replies
631 Views
Habari za jumapili wakuu Imekua desturi kwa binadamu mara nyingi tukiwa na furaha tunamsahau muumba wetu,lakini katika matatizo kama misiba nk hapo ndo huwa Imani za watu hujulikana hata kama...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Hawa jamaa wa 360 kiukweli Wanavyojadili mada hii nyalandu Na huyu MTU mfupi anaposema SINGIDA HAWAJAFURAHI hatujui utafiti wake kafanya lini Na huyu jamaa huwa anaonekana NI mnazi kindakindaki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanafunzi 24 wa Chuo Cha Uuguzi Cha Berega kilichopo Kilosa mkoani Morogoro wametelekezwa na mfadhili wao Chama Cha Lions Clubs Morogoro ambalo liliahidi kuwasomesha na kuwatafutia ajira baada ya...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Habari, Mvua imeanza kunyesha maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Kwa heshima naomba tuambiane madhara mbalimbali yaliyo/yanayoendelea kusababishwa na mvua. Mbagala, Dar Es Salaam
3 Reactions
332 Replies
60K Views
Fuatia kichwa cha habari hapo juu bei mpya kuanzia leo gesi zote za nyumbani Kg 15 =51"000 badala ya 47"000 KG 6 = 21"000 BADALA YA 18"000 TUNAWATAKIA MATUMIZI MEMA YENYE UBAHILI
11 Reactions
115 Replies
13K Views
Amri hiyo imetolewa Novemba 2 na Hakimu Mkazi, Samuel Maweda baada ya mkuu huyo wa wilaya kukaidi amri ya kuachia ng'ombe 541 wa wafugaji wa kitongoji cha Rwenkuba wilayani humo waliokamatwa...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Watoto wanatakiwa wajisikie salama wakiwa nyumbani, shuleni na kwenye jamii inayowazunguka. Lakini katika maeneo mengi ukatili dhidi ya watoto hufanyika na wakati mwingine kutoka kwa watu ambao...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana JF Kwa wale ambao tumefika siku ya leo tukiwa na afya njema hatuna budi kumshukuru mwenyezi mungu, tumefika hapa kwa neema zake na ni ombi langu kuwa aendelee kutujalia na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ripoti ya ukatili wa Kijinsia mkoani Iringa inaonyesha kuwa 'WANAUME MKOANI IRINGA WANAONGOZA KWA KUPIGWA NA WAKE ZAO. Jeshi la Polisi limewataka wanaume mkoani humo kutoa taarifa polisi pindi...
2 Reactions
26 Replies
9K Views
Polisi Kanda Maalum ya DSM, bado haijafanikiwa kuwakamata FFU waliohusika kuwapiga raia Ukonga, kwa kuwa waliotajwa hawajapatikana. Wameandika nipashe. Shughuli nzito kuwanasa Polisi wadaiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpaka sasa inasomeka Dollar 1 kwa tsh 2548 katika sokola fedha la mitandaoni wakati soko halisi ktk maduka ya fedha na benki mbalimbali ni 2240 Nadhani lazima kuna hujuma mahali katika kuweka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom