Si sawa hata kidogo

Si sawa hata kidogo

Ifumange

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
900
Reaction score
1,077
Nimeumia sana eti vifaranga wanateketeza kwa moto lakini kwa sheria ile ile ya magonjwa ya kuambukiza ng'ombe wanataifishwa na kupiga mnada siamini.
 
Hao waliochoma vifaranga Mungu anawaona
Laana itawaandama
 
Ng'ombe huenda kuchinjwa ila vifaranga watachukua siku nyiiingi kuliwa yakhee. Pili; utahitaji kuni nyingi sana kuunguza ng'ombe 6000 kumbe mafuta taa lita moja tu iliunguza vifaranga 6000. Usijali huo ndio ulimwengu
 
Back
Top Bottom