Chama cha wamiliki wa Mabasi-TABOA kwa kushirikiana na chama cha wamiliki wa daladala wametangaza mgogoro na mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa majini na nchi kavu SUMATRA na kupanga kuitisha...
Watanzania wawili wamekamatwa na polisi wa kupambana na ugaidi katika eneo la isiolo nchini Kenya, wakienda Somalia ambako wanahisiwa wakienda kujiunga na Al- Shabaab
Mkuu wa polisi kituo cha...
MASUMBUKO Stephano mkazi wa Mtaa wa Kamando, Kata ya Igunga Mjini, Igunga mkoani Tabora, amefariki dunia papo hapo baada ya kuchomwa kisu na mkewe Christina Elias (30) kutokana na kile...
Habari wanaJF!!!
Kwanini Serikali haitaki kuruhusu kamali ya Karata (Makato) iwe ni halali kama kamali zingine?
Kwa wale wasio ujua huu mchezo wa karata (kamali ya MAKATO) huwa unachezwa hivi...
Wana JF naomba tushirikishane hapa kidogo.
Mimi ni mfanya biashara. Nimefanya biashata muda mrefu lakini huu mwaka nimepata changamoto kubwa sana ya watu kutolipa madeni yao kwa wakati au...
Kuna ajali imetokea maeneo ya Usa River muda si mrefu na kupoteza maisha ya watu wawili ambao walikuwa na gari aina ya Mark X. Gari yao imetoka barabarani na kwenda kugonga mti huku chanzo...
Miradi yote ya ujenzi bodi ya mainjinia huhakikisha kampuni zinazojenga zina mainjinia wa ujenzi wanaotambuliwa na bodi lakini wizara ya madini na bodi ya mainjinia kwenye swala LA migodi huko...
Tabia ya Mkuu wetu kupenda watu wakariri takwimu ina pande mbili. Kwa upande wa mambo ya fedha , Mkurugrnzi (DED) kukariri takwimu yaweza kuwa dalili ya yeye kufuatilia mafungu. Wakurugenzi wa...
Kutokana na mambo mengi mabaya yaliyonitokea katika ulimwengu huu uliyojaa utata na usaliti pamoja na kutupiana lawama kila siku,nawashauri ndugu zangu juu ya kuhifadhi kumbukumbu,ni muhimu sana...
Mtandao wa Facebook umewaomba watumiaji wake wawatumie picha za utupo kwa sababu mtandao huo upo kwenye majaribio ya kudhibiti picha za utupu ambazo hurushwa mtandaoni kama kisasi (revenge porn)...
Sera ya Maji ya mwaka 2002 inabainisha kuwa “Maji ni muhimu kwa viumbe vyote duniani, bila maji hakuna uhai. Aidha maji ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kiwango cha maendeleo ya...
Licha ya uchumi wa Tanzania kuimarika na kuchangia kukua kwa pato la ndani la Afrika, Tanzania imetakiwa kuboresha miundombinu ya barabara ili kuwavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta za...
Serikali ya wilaya ya Newala mkoani Mtwara imelazimika kufanya oparesheni maalumu ya kuwatimua Waganga wa kienyeji walioweka makazi ya muda Newala katika msimu wa korosho kwa lengo la kuwarubuni...
Habari wana Jamii Forums,..
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,.
Binafsi nimepata kuelimika kwa mada mbalimbali na kufanikiwa kupata ushauri ambao umekuwa wa manufaa makubwa sana kwangu...
Wadau habarini.
Leo Wafanyakazi Wanne Wa Tanesco Pamoja Na Watu Wengine Wawili Wamefikishwa Katika Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu Wakikabiliwa Na Makosa Ya Kuhujumu Uchumi.
Waliofikishwa...
Kondoo wamedhihirisha kwamba wana uwezo wa kutambua na kutofautisha nyuso za watu wanaowafahamu, kwa mujibu wa utafiti.
Watafiti katika Chuo Kikuu cha Cambridge waliweza kuwafundisha kondoo...
Ukweli umekuwa uchochezi, watanzania Tunawaogopa wasiojulikana. And the fact hawajawika kwa muda sasa sijui wamebadilisha mkakati.
Yaani watanzania tumekuwa waoga sana.
Hivi Mwalimu angeluwa...
Wakuu salaam
Napendekeza serikali ijenge ukuta mkubwa kuzunguka mipaka ya kenya na Tanzania na kuwepo na mlango mmoja tuu wa kuingilia na kutokea..
Hii itasaidia kuzuia mifugo yote inayovuka...
Wanabodi..!
Kuna uvumi unaendelea mtaani juu ya hizi taasisi mbili kuu za uma zinazojishughulisha na masuala ya uendelezaji wa milki hapa nchini Tanzania kuweza kuunganishwa na kuwa taasisi...
Wakuu hii imekaaje ?Hivi kwa nini wale average students hufanikiwa sana maishani katika vitu vingi wanavyovifanya ikiwemo kuwa na uwezo mkubwa wa kipesa na kuwa viongozi wazuri kuliko wale gredi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.