ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Kutokana na mambo mengi mabaya yaliyonitokea katika ulimwengu huu uliyojaa utata na usaliti pamoja na kutupiana lawama kila siku,nawashauri ndugu zangu juu ya kuhifadhi kumbukumbu,ni muhimu sana kama ulikuwa hujui kwani zimenisaidia sana kwenye mambo mbalimbali. Fanya yafuatayo
1. Sometimes jifunze ku record phone call, vikao vya muhimu kama kazini au kwenye interview yeyote,inasaidia kupata feedback .
2. Backup sms, call logs,hiyo nitakuwa nayo siku zote hata nikibadili simu....hii inasaidia kutunza kumbukumbu.
3.BACK UP PHOTOS and VIDEOS Picha au video yoyote inayoingia kwenye simu inakuwa backed up automatically,iwe ni WHATSAPP,JF,au source nyingine yeyote.
Tumia apps hizi hapa.
1.Google drive.
2.Google photos.
3.Automatic call recording.
4.Phone recorder