Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi...
1979 tulimshinda Idd Amin kirahisi sababu ya mgawanyiko waliokuwa nao waganda,ukiachilia baadhi ya wachache haswa kabila lake dikteta Amini waliokuwa wanamshangilia wengi waliisaidia majeshi ya...
Hii chini ndio website ya Tanzania's National Board of Accountants and Auditors (N.B.A.A) tangu mwaka 2008 nilivyoiona mpaka leo hii ipo vilevile, and mark my words, mtoto wa dada yangu wa miaka...
Kulingana na mkazi anayeishi eneo la Tuangoma, Kongowe. Amenijuza kuwa yapata wiki moja sasa barabara ya Kilwa Road kilomita 3 kuanzia eneo la Kokoto kwenda Kongowe kumekuwa na foleni sana...
Wakuu nimefanya utafiti wangu nimegundua hapa Tanzania Jiji la pili kwa Ukubwa Tanzania halina sapoti ya serikali isipokua biashara na nguvu za wazawa ni Mwanza,wilaya tajiri na yenye pato kubwa...
Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Irenius Ruyobya amesema kupungua kwa mfumuko wa bei Oktoba, kumechangiwa na kupungua kwa bei za...
Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo...
Nimekuja Mwanza nimekuja kupunga upepo na kuangalia sehemu nzuri ya kubarizi usiku huu /kwenye twiga niwasalimie kidogo ugeni nao kazi, lakini pia mchana maeneo gani mazuri.
Wakuu,
Usiku wa kuamkia juzi niliota nimepata ajali ya ndege, ndege ilianguka baharini karibu na nchi kavu huko sudan, ilipoanguka tu nikashtuka ndoto ikaishia hapo.
Usiku wa kuamkia jana...
Tuliona ulivyokuwa mstari wa mbele kuwasaidia watoto wa ajari Arusha na tunaamini unawapenda watanzania wote. Sasa huko Kagera leo watoto wadogo wamrlipukiwa na bomu na wanahitaji msaada wa...
Imenisikitisha kugundua baadhi ya watumishi wa uma wanashindia mlo mmoja tu, maisha yamekuwa magumu mnoo.
Kwa utafiti wangu licha ya maslai(mishahara na posho) kuwa ndogo, pia tabia ya watumishi...
Nimeona ile clip ya Waziri Prof. Makame Mbalawa akijibu maswali ya Rais Dr. Magufuli wilayani Karagwe.
Nimesikitika sana kuona viongozi waliopewa dhamana na kuaminika wamekuwa wakifanya kazi...
Tume ya haki za binadamu na utawala bora nchini Tanzania (LHRC), imetamka kuwa ubomoaji wa nyumba za makazi na majengo ya biashara ili kupisha hifadhi ya reli haukuzingatia haki za binadamu na...
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia imeahidi kutumia tafiti zinazofanywa na wanafunzi wazawa ili kugundua matatizo ya wananchi na njia za kuweza kuyatatua, anaandika Angel Willium.
Serikali...
Tumekuwa tunapgwa danadana kuhusu uletaji wa kadi zingne kwa ajili ya mwendokasi
Habari kutoka insider zinasema wakileta kadi wanakosa mapato ya watu wa MBEZI kwenda mjini kwa kuwa mtu akitumia...
Wakuu za Wakati Tena..
Nikiwa Natimiza Miezi 8 Tangu Nimeamia Makao Makuu ya Nchi (Dodoma),Nimebaini Kuna Hujuma katika usomaji wa Meter kwa Wateja wengi.Last Month Nilikatiwa maji,Sijarudisha...
Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini Tanzania, Edo Kumwembe amesema kwenye ukurasa wake wa FB kuwa wezi wamevunja dirisha la nyumbani kwake mbezi usiku wa kuamkia leo Novemba 7 kisha kuiba seti ya...
Tanzania imetangaza vita ya kiuchumi,vita hii inapopiganwa huwezi kusikia mlio wa risasi kama zile vita za kawaida wala huwezi kuona damu inamwagika au umekoswakoswa na Bomu
Lakini japo hutayaona...
Wakati serikali ya awamu ya tano ikiagiza kufanywa haraka kwa zoezi la upigaji chapa ng'ombe wa hapa nchini,kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majangili waliokua na silaha za moto limevamia ranchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.