Hivi kwanini gredi C students wanafanikiwa sana maishani?

Wakuu hii imekaaje ?Hivi kwa nini wale average students hufanikiwa sana maishani katika vitu vingi wanavyovifanya ikiwemo kuwa na uwezo mkubwa wa kipesa na kuwa viongozi wazuri kuliko wale gredi A,B D na kuendelea?
Ni kwamba wanafunzi wa namna hiyo wana akili nyingi tu ila wanasoma average na the rest wanahamishia nguvu kwenye other issues so wanajikuta wapo vizuri sana kwenye global issues coz daradani yupo na nje ya darasa yupo kwa hiyo kwa mgawanyiko huo anajikuta tofauti na vipanga ambao wengi wanakua vizuri sana darasani sababu mda wao mwingi wanautumia tu kutafuta A ila huyu wa C hasomi kwa stress, anaenda na elimu zote na kwa vyovyote vile tegemea hawa watu wawili wakigraduate kipanga ni ngumu sana kutoboa maisha asipoajiriwa haraka ila huyu aliyekua average anakua anajua mambo mengi ya kimaisha nje ya darasa na hatapata shida sana kwani ni multipurpose(kiraka).
 
kwa hiyo aliyepata C ni kilaza??
Somo mliosoma darasa moja na mwalimu mmoja, wenzako wamepata A,B+ na B wewe una C , sasa wewe ni nani kama sio kilaza usieelewa,,,? Nijibu kwanini usipate A au kuna watu wanasomea karai.
 
Back
Top Bottom