Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna utafiti nimeufanya kuhusu watu wenye roho mbaya wako hivi; 1.Hupenda kujiona wao ni wema na wasafi kuliko wengine. 2.Hupenda kulalamika tuu. 3.Hawapendi ushirikiano katika shida za wenzao...
5 Reactions
22 Replies
16K Views
Nilikiwa napitia histolia ya viongozi Africa hususani kwa wale waliokuwa ni marafiki wa kubwa wa USA enzi hizo,nikaona ni vyema ni wajuze wana JF wenzangu kuwa huyu RAISI wa Zaire zamani Mobutu...
1 Reactions
21 Replies
21K Views
Kwa sasa ni kituo cha ovyo kuliko vyote hapa nchini.Quality ya ovyo.Inaweza ku scractch na kukata picha na sauti mfululizo kwa muda mrefu as if hawana watu wanaoshughulikia ubora wa natangazo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wajameni, Kumekuwa na ujambazi mpya siku hizi watu hawaji kuvamia wala nini, jirani zangu wawili wameibiwa kwa staili hiyo, wamekuja jamaa wameshika radio call wanajidai wanaongea...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Pamoja na Tanzania kufaidika kiuchumi kutokana na ujenzi wa bomba la Mafuta toka Kabaale, Uganda hadi jijini Tanga, bado itapata hisa za asilimia 8 katika uendeshaji wa shughuli za uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya udalali ya Yono asubuhi ya leo November 9, 2017 imeifunga Hotel ya Blue Pearl iliyopo kwenye jengo la Ubungo Plaza eneo la Ubungo kutokana na mmiliki wake kudaiwa kodi ya pango Tshs...
4 Reactions
73 Replies
9K Views
WAHANGA WA MLIPUKO KAGERA: Wanafunzi 33 kati ya 45 waliojeruhiwa na bomu lililolipuka Jumatano Ngara ,mkoani Kagera kusini Magharibi mwa Tanzania,wanategemea kuruhusiwa kutoka hosipitali ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Dodoma. Serikali imewaagiza wakuu wote wa vyuo vya elimu ya juu kuacha urasimu katika utoaji wa fedha kwa wanufaika wa mikopo ambao wana makubaliano na Serikali. Waziri wa Elimu, Sayansi na...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Wafanyabiashara saba tu kati ya wafanyabiashara zaidi ya 2500 ndio ambao wamelipwa fidia ya mali zao ambazo ziliteketea kwa moto wakati soko la SIDO la jijini Mbeya lilipoungua na kusababisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wananchi wa kijiji cha Picha ya Ndege Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani wamekuwa na mgogoro wa ardhi wa zaidi ya ekari 70 ambazo zimeleta mapigano baina wananchi wa eneo hilo huku wengine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yes. Tupo slow sana hatuendi na muda. Kila mahali ni hivi hivi hebu tubadilike. Iwe benki, hospital, n.k. yaani mtu anaweza kuhudumia mtu mmoja muda mrefu mpaka kero ni kama anasukumwa vile...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kuwepo kwa mkanganyiko wa gharama za kupiga picha daraja la Nyerere Kigamboni, hatimaye Serikali imetangaza mchanganuo wa malipo ya huduma hiyo darajani hapo Kaimu meneja mahusiano wa...
4 Reactions
15 Replies
11K Views
Bodi ya korosho Tanzania (CBT),imesema haiusiki na uagizaji wa magunia ya kuhifadhia korosho za wakulima katika mikoa iliyoanza kufanya minada ya kuuza zao hilo,ambapo kwa sasa kuna uhaba wa...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Jeshi la polisi wilaya ya Arumeru limemtia mbaroni aliyekuwa meneja wa chama kikuu cha ushirika mkoa wa Arusha (ACU),David Laizer(82)mkazi wa Nambele ,Sokoni II,wilaya ya Arumeru,mkoani Arusha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu ni Tiger ama wengi wanapenda kumuita "The ultimate killer", Anaishi kwenye nyika " jungle" muda wote,Katika wale big cats huyu ndi mkubwa kulio wote,ana uzito wa wastani 350 kg na urefu wa...
13 Reactions
157 Replies
27K Views
Imekuwa ni kawaida kila zinapopatikana habari za majambazi kuuawa huwa zinaambatana na taarifa kuwa walikuwa ni majambazi wa Kibiti. Inatia shaka kuwa ingekuwa zama za Zombe hata wale wafanya...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mi nimteja wa hichi kinga'muzi lakin hivi karibun kumekuwa na kupanda kwa gharama zisizo endana na huduma wameongeza sh 3,000 kwa kifurushi cha chini kabisa kilichokuwa 15,000 na sasa ni 18,000 na...
8 Reactions
76 Replies
13K Views
Salaam ndugu wanajukwaa natumai mu wazima. Tatizo langu ni moja tu, ni tatizo ambalo limekuwa likinisumbua tangu mwanzoni mwa mwaka labda pengine jukwaa hili la madokta naweza pata ufumbuzi...
20 Reactions
140 Replies
15K Views
Back
Top Bottom