Je, Mwalimu Nyerere angelitumiaje mitandao ya kijamii?

Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
556
Likes
895
Points
180
Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
556 895 180
Ukweli umekuwa uchochezi, watanzania Tunawaogopa wasiojulikana. And the fact hawajawika kwa muda sasa sijui wamebadilisha mkakati.

Yaani watanzania tumekuwa waoga sana.
Hivi Mwalimu angeluwa muoga na mjinga wa hali tuliyonayo tungekuwa wapi.

Tunaadvantage ya social media lakini bado tena huko ndio waoga mwanzo mwisho.
Sijui Mwalimu na harakati zake kama wangekuwa wamebarikiwa hii mitandao ya Kijamii angemafanya makubwa kiasi.

Yaan Kodi ulipe wewe halafu ushindwe kuwa na maamuzi na Mali yako.

Tuache uwoga,
NUKUU
Samwel Sitta.
"* wajukuu zetu watatukana makaburi yetu *"
 
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
5,182
Likes
4,005
Points
280
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
5,182 4,005 280
Yawezekana asingetumia maana mpaka anafariki hata gari alikuwa hajui kuendesha na wala hakutaka kujifunza kuendesha hakuona umuhimu wake yeye kujua gari. Ila alifika kila mahali alipotaka kufika.
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,138
Likes
3,194
Points
280
Age
31
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,138 3,194 280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Nadhani yeye alichangia kua na kizazi cha watu waoga na wanafiki ktk nchi hii. Hivi nani katika utawala wake angethubutu kuyasema hata nusu ya wanayoyasema sasa hivi wapinzani ktk majukwaa na media?
Sema alikua mtu mweledi sana, mwenye akili na mbinu nyingi, bingwa wa kucheza karata za kisiasa za ndani na nje ya nchi kwa umahiri na ustadi wa kiwango cha juu mno!
Alijua kusuka mifumo(system) na kuelekeza utendaji na mwelekeo wake. Ilikua ni vigumu sana kumshinda kwa hoja na aliipenda nchi yake kwa dhati ya kuipenda na aliidharau mali. Mwalimu hakuiba na katika hili hakuwahi hata kutiliwa japo shaka!
Pamoja na hayo alikua ni mgumu wa kukubali au kupokea asichokiamini yeye na wanaomjua wanasema ilikua ni hatari kupingana nae, nadhani hili lilichangia kiasi kikubwa kutengeneza viongozi na hata watu wanafiki wanaojilazimisha kuunga mkono mambo ambayo hawakuyaamini hata wao. Ndio maana alipo ondoka tu madarakani wakajitokeza watu waliokua na misimamo tofauti kabisa na yeye na kwa vitendo, itikadi, misimamo na maneno, wakampinga hadharani!
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,354
Likes
17,355
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,354 17,355 280

Remy ongala

Swissme
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
30,684
Likes
87,209
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
30,684 87,209 280
Hakupenda tuwe na TV ya taifa kuepuka propaganda za magharibi. RTD ilikuwa ni taarifa ya habari na mchana vipindi vya chakula bora na ukulima wa kisasa kwa kwenda mbele.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,360
Likes
12,142
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,360 12,142 280
Nadhani yeye alichangia kua na kizazi cha watu waoga na wanafiki ktk nchi hii. Hivi nani katika utawala wake angethubutu kuyasema hata nusu ya wanayoyasema sasa hivi wapinzani ktk majukwaa na media?
Sema alikua mtu mweledi sana, mwenye akili na mbinu nyingi, bingwa wa kucheza karata za kisiasa za ndani na nje ya nchi kwa umahiri na ustadi wa kiwango cha juu mno!
Alijua kusuka mifumo(system) na kuelekeza utendaji na mwelekeo wake. Ilikua ni vigumu sana kumshinda kwa hoja na aliipenda nchi yake kwa dhati ya kuipenda na aliidharau mali. Mwalimu hakuiba na katika hili hakuwahi hata kutiliwa japo shaka!
Pamoja na hayo alikua ni mgumu wa kukubali au kupokea asichokiamini yeye na wanaomjua wanasema ilikua ni hatari kupingana nae, nadhani hili lilichangia kiasi kikubwa kutengeneza viongozi na hata watu wanafiki wanaojilazimisha kuunga mkono mambo ambayo hawakuyaamini hata wao. Ndio maana alipo ondoka tu madarakani wakajitokeza watu waliokua na misimamo tofauti kabisa na yeye na kwa vitendo, itikadi, misimamo na maneno, wakampinga hadharani!
Katika yako hayo uliyoandika Main point is "NYERERE ALIPENDA NCHI YAKE KWA DHATI".Full stop

RIP
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Katika yako hayo uliyoandika Main point is "NYERERE ALIPENDA NCHI YAKE KWA DHATI".Full stop

RIP
Hatumtendei hali kama hatuzungumzi pande zake mbili za sarafu, pamoja na yote mazuri he was a normal human being na alifanya pia makosa ambayo mengine yana impact hadi leo
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Hakupenda tuwe na TV ya taifa kuepuka propaganda za magharibi. RTD ilikuwa ni taarifa ya habari na mchana vipindi vya chakula bora na ukulima wa kisasa kwa kwenda mbele.
Kulikua na vipindi vingi vya elimu na burudani pia. Maadili yalizingatiwa vilivyo, hapakua na nyimbo ambazo huwezi zisikiliza na wanao, hata hivyo kulizalisha waandishi wa habari ambao hawakua critic kwa serikali
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
30,684
Likes
87,209
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
30,684 87,209 280
Kulikua na vipindi vingi vya elimu na burudani pia. Maadili yalizingatiwa vilivyo, hapakua na nyimbo ambazo huwezi zisikiliza na wanao, hata hivyo kulizalisha waandishi wa habari ambao hawakua critic kwa serikali
Vipindi vya burudani ni kuanzia saa moja jioni. Uzuri wake idadi ya waliojua kusoma na kuandika ilikuwa juu hata vile vitabu vya ukulima bora viliweza kusambaza ujumbe kirahisi. Ilikuwa rahisi pia kuelimisha jamii juu ya magonjwa mlipuko kama kipindupindu
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Vipindi vya burudani ni kuanzia saa moja jioni. Uzuri wake idadi ya waliojua kusoma na kuandika ilikuwa juu hata vile vitabu vya ikulima bora viliweza kusambaza ujumbe kirahisi. Ilikuwa rahisi pia kuelimisha jamii juu ya magonjwa mlipuko kama kipindupindu
Na hapakua classes kama siku hizi, shule za serikali walikua wanasoma watoto viongozi, watoto wa matajiri na watoto wa masikini, kwa hiyo taifa lote lilikua na muelekeo mmoja unaojulikana
 
Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
556
Likes
895
Points
180
Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
556 895 180
Na hapakua classes kama siku hizi, shule za serikali walikua wanasoma watoto viongozi, watoto wa matajiri na watoto wa masikini, kwa hiyo taifa lote lilikua na muelekeo mmoja unaojulikana
Yaan double standards nje nje, hatuelekei pazuri lakini.
Hatukuwaga watu wa hizi tabia
 
M

Mirreh2012

Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
71
Likes
45
Points
25
M

Mirreh2012

Member
Joined Oct 20, 2017
71 45 25
Ukweli umekuwa uchochezi, watanzania Tunawaogopa wasiojulikana. And the fact hawajawika kwa muda sasa sijui wamebadilisha mkakati.

Yaani watanzania tumekuwa waoga sana.
Hivi Mwalimu angeluwa muoga na mjinga wa hali tuliyonayo tungekuwa wapi.

Tunaadvantage ya social media lakini bado tena huko ndio waoga mwanzo mwisho.
Sijui Mwalimu na harakati zake kama wangekuwa wamebarikiwa hii mitandao ya Kijamii angemafanya makubwa kiasi.

Yaan Kodi ulipe wewe halafu ushindwe kuwa na maamuzi na Mali yako.

Tuache uwoga,
NUKUU
Samwel Sitta.
"* wajukuu zetu watatukana makaburi yetu *"
Nyerere angekuwepo sidhani kama mitandao ingekuwepo ange block wala msingekuwa na uhuru wa maneno. Na hivyo ndio inavyo takiwa mpaka hapo hii nchi itakapo kuwa na asilimia 70 ya watu wanao jua kusoma na kuandika
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,404
Likes
27,490
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,404 27,490 280
Hakupenda tuwe na TV ya taifa kuepuka propaganda za magharibi. RTD ilikuwa ni taarifa ya habari na mchana vipindi vya chakula bora na ukulima wa kisasa kwa kwenda mbele.
Mazungumzo baada ya habari, mama na mwana, michezo ya kuigiza, kombora
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,138
Likes
3,194
Points
280
Age
31
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,138 3,194 280
Kusupp sio ukilaza mbona mimi nilisup lakini sasa ni Professor MzeeMeko?
haya bna..na Mimi natamani ningepata watetezi kama mwalimu
 
Forum statistics

Threads 1,250,234
Members 481,278
Posts 29,725,412