Napendekeza Serikali ijenge ukuta wa kutenganisha Tanzania na kenya kama inavyojenga huko mgodini Arusha

kinundu

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,029
2,129
Wakuu salaam

Napendekeza serikali ijenge ukuta mkubwa kuzunguka mipaka ya kenya na Tanzania na kuwepo na mlango mmoja tuu wa kuingilia na kutokea..

Hii itasaidia kuzuia mifugo yote inayovuka mipaka.. Vile vile tutakua tumedumisha undugu.. Ukirejea namna tulivyo choma vifaranga moto na kuuza wale ng'ombe WA kenya...

Kukiwa na mlango mmoja nadhan itakua rahisi sana kudhibiti muingiliano usio rasmi.. Kumbuka sisi hatujaribiwi..naona kama majirani zetu wameanza kuwashwa washwa... Na wasitujibu sisi hovyo wanavyotaka wao sisi hatujibiwi hovyo...

Kama mgodini tumeweza kujenga ukuta kwann tushindwe mpakani kenya.. Hapa ni ukuta tuu kuzunguka nchi yetu...na nguvu kazi tunayo,na pesa zetu zipo nyingi tunakusanya kodi na kuvuka malengo

Nawasilisha
 
Ndo akili zako zilipoishia .Akili fupi km Mithili ya UMEME WA LUKU
 
Najaribu kuendana sawa na akili ya mkuu wetu wa nchi ili kumridhisha yeye... Angalau Wale wanyama pori wanao hama hama watapata shida nao
 
Back
Top Bottom