Tufikiri Upya hulka ya Kukariri Takwimu


B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
1,089
Likes
1,269
Points
280
B

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
1,089 1,269 280
Tabia ya Mkuu wetu kupenda watu wakariri takwimu ina pande mbili. Kwa upande wa mambo ya fedha , Mkurugrnzi (DED) kukariri takwimu yaweza kuwa dalili ya yeye kufuatilia mafungu. Wakurugenzi wa namna hii wanajulikana kwa ulaji wa fedha. Huidhinisha fedha na kuzifuata nyuma ili wazitafune. Na katika kukariri huwa wanahakikisha wanakula bila kumaliza na kwa hiyo wanatunza kumbukumbu. Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu.

Upande wa pili kutokariri takwimu za fedha ukiwa mkuu wa taasisi, yaweza kuwa dalili ya udhaifu (si uzembe). Kwamba, unategemea mtu mwingine ajue fedha kuliko wewe. Hili si kosa la kumwondoa mtu katika nafasi yake.

Kwa hiyo kutumbuliwa kwa mama yule na baba yule, yawezekana tatizo si kushindwa kukariri. Yawezekana na masuala mengind ukitilia maanani kuwa Mkuu alitamka kuwa amewasamehe.

Nilipoiangalia ile clip kabla ya kutokea barua ya kuwatumbua, nilicomment kuwa "ningelikuwa mimi, ningempandisha cheo yule mama". Nilimwona ana msimamo mzuri na kusimamia anachokijua kuliko kukimbilia kumdanganya Mkuu. Je kuna tofauti gani kati ya Askari aliyemkatalia mke wa waziri fulani barabarani alipotaka kutumia nafasi ya mmewe kutolip faini ya trafic?

Yule mama alim-adress Mkuu wa heshima sana tofauti na kauli ya " huwezi kunijibu hivyo mimi".
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,267
Likes
11,726
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,267 11,726 280
Yule mama naye ni ujinga wake mwenyewe tu. Kwani yeye hajui serikali iliyopo inahitaji nini? Yeye angetaja fugure yeyote ile kubwa kubwa hata kama ni ya uongo.
Kwani aliyesema Gadaf alikua rais wa kuwait alifanywa nini? Si alishangiliwa tu yakaisha?
 
Mlandula Jr

Mlandula Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2016
Messages
1,695
Likes
866
Points
280
Age
48
Mlandula Jr

Mlandula Jr

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2016
1,695 866 280
Yule mama naye ni ujinga wake mwenyewe tu. Kwani yeye hajui serikali iliyopo inahitaji nini? Yeye angetaja fugure yeyote ile kubwa kubwa hata kama ni ya uongo.
Kwani aliyesema Gadaf alikua rais wa kuwait alifanywa nini? Si alishangiliwa tu yakaisha?
Mmmh
 
Z

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Messages
1,012
Likes
1,049
Points
280
Z

ZEE LA HEKIMA

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2015
1,012 1,049 280
Sitarajii yule mama angeweza kukumbuka exactly ni shilingi ngapi za barabara alizopokea. Lakini hana ubunifu, na inaelekea IQ yake sio kubwa sana. Hata kama alikuwa hakumbuki kama jumla alizopokea ni bilioni 12 na zilizobaki ni bilioni 2 angesema tu 'tulipokea bilioni 12 kwa ajili ya idara zote. Sina hakika za barabara zilikuwa ni ngapi exactly lakini nafikiri ni bilioni tatu. Na fedha zilizobaki ni bilioni 2. Asingeweza kutumbuliwa angejibu hivyo maana angeonekana wazi anafuatilia mipango yote ya maendeleo wilayani mwake japo hakumbuki kiasi cha kila idara.
 
GwaB

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Messages
990
Likes
513
Points
180
GwaB

GwaB

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2014
990 513 180
Kazi ya Mkurugenzi ni pamoja na kujua idadi ya miradi ya maendeleo katika eneo lake. Kujua kiasi cha pesa zilizotolewa kwa ajili ya mradi mmoja katika halmashauri kama ya Bukoba ni jambo ambalo anapaswa kulijua kama sala ya bwana, hata kama anasimamia miradi 10. Naamini kuna figisu na msigano fulani katika halmashauri ya Bukoka.

Rais kuwasimamisha wahusika kwenye mkutano wa hadhara na kuwauliza kiasi kilichotolewa kwenye miradi ya barabara ni kiashiria tosha kuwa kuna kitu hakiendi sawa huko Bukoba mjini, atakuwa aliishapata taarifa fulani kuhusu Bukoba.
 
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,328
Likes
1,598
Points
280
Age
40
M

miwani ya maisha

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,328 1,598 280
Ule ni unyanyasaji wa kijinsia baba jesca hana utu kwa akina mama japo anawapenda wajane.....kuna mjane anatafutiwa tobo mahali.
 

Forum statistics

Threads 1,237,857
Members 475,675
Posts 29,303,701