Ushauri kwa waziri wa madini na bodi ya mainjinia Tanzania


YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
13,274
Likes
12,805
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
13,274 12,805 280
Miradi yote ya ujenzi bodi ya mainjinia huhakikisha kampuni zinazojenga zina mainjinia wa ujenzi wanaotambuliwa na bodi lakini wizara ya madini na bodi ya mainjinia kwenye swala LA migodi huko hawakusimamii vizuri migodi yote inatakiwa kuwa na mainjinia wa migodi kabla ya kuruhusu uchimbaji wowote.ieleweke kuwa mgodi bila injinia ni hatari kuliko hata ujenzi wa nyumba.Watu tunasikia Mara nyingi wamefunikwa na kufa migodini sababu mmojawapo kubwa ikiwa ni ukosefu wa mainjinia kusimamia ujenzi wake.Wizara na bodi ya mainjinia nendeni migodini hakikisheni migodi yote inakuwa na mainjinia kukitokea hata tatizo mumbane injinia Bodi ya mainjinia ianze kupita kukagua migodi yote nchini kuona kama INA mainjinia wanaowatambua .
 

Forum statistics

Threads 1,215,088
Members 463,007
Posts 28,535,303