Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za wakati huu wanaJF Natumai kwema kabisa na wale wengine ambao mambo hayajawaendea vyema basi muongeze jitihada na kutatua matatizo hayo. Husika na kichwa cha mada hapo juu. Mimi kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wizara ya nishati tunaomba tukumbukeni vijana mlio tusomesha fani za MAFUTA NA GESI. Wapo vijana mliowasomesha Shahada ya Kemia ya Petroli (BSc Petroleum Chemistry) Shahada ya uhandisi wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu kijana yuko vizuri! Another Lissu in the making!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
USHAURI KUTOKA KWA APOSTLE DIONIS MTALEMWA Diplomatic service 12/4/2016 ✅ Usiishi maisha ya kumtegemea mtu awaye yeyote. Jishughulishe mwenyewe kwa bidii. Mana kama unamtegemea mtu siku huyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam!! Mama yangu mdogo alinunua kifurushi cha Azam Pure cha shilingi 18000, sasa tangu anunue ni wiki ya pili hii chaneli ya Azam Sports HD haikuwahi kuonekana na hii anasema sio kawaida yani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zaidi ya ekari 263 za mashamba ya Bangi yakiwemo magunia 262 ya Bangi kavu yamekamatwa na kuteketezwa katika oparesheni kali inayoendeshwa na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Tarime mkoani...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi? Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
2 Reactions
61 Replies
8K Views
Habati, Hii kwa kweli haikubaliki, nijuavyo mimi barabara hizi za mabasi yaendayo haraka aka mwendokasi ni mahususi kwa ajili ya hayo mabasi tu. Hata ambulance huwa zinaachwa zipite kwa kigezo...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Arusha. Madaktari wa Mifugo wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) kwa kushirikiana na wataalam wa Taasisi ya wanyamapori (TAWIRI) wametumia saa matatu kumfanyia upasuaji simba ambaye ni...
7 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari JF Maisha ukiyatafakari unaweza shikwa na mfadhaiko daima. Liko jambo kila nikilitafakari mwisho wake huniachia maswali mengi. Jambo hilo ni UKWELI Nenda kaskazini, magharibi au rudi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hiki ni moja ya kisu hatari zaidi duniani kuwahi tengenezwa!. Jina lake linatokana na kikosi cha kijeshi cha Austria kilichoundwa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia (ww1). Jagdkommando...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari ya jumapili mabibi na mabwana. Leo ni siku nyingine ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima. Napenda kuchukua wasaa huu kuwashirikisha ujumbe wa leo kutoka katika maandiko...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu habari, Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Imekuwa ni kawaida katika jamii kuwaona watu ambao hujiita askari shirikishi Wakifanya kazi yakuwakamata raia katika mitaa ya Dar Es salaam na maeneo mengineyo katika nchi ya Tanzania. Pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Kuna chuo kimoja MAARUFU cha afya kipo maeneo ya kimara,kila mwezi kinatangaza NAFASI za kazi kwenye tv ususan star Tv kwa ajili ya wakufunzi najiuliza watu huwa hawaaply? Nimeona leo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.? Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kutoka na jinsi mnavyo i challenge serikali ya awamu ya tano, challenge hizi ndizo zinazomfanya mkuu asijisahau katika kuwatumikia watanzania. Napenda sana mkuu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Tukiwa tumebakiza miezi michache kuumaliza mwaka 2017 hebu tuambiane ni kitu gani muhimu umekifanya mwaka huu. Maana kila mwaka unapoanza watu huwa tuna malengo fulani ya kufanya kabla mwaka...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Asubui hii kwenye matembezi nkmekutana na hili Tangazo kuhusu utalii. Nimefarijika ila kuna jitihada zaidi zinahitajika, Kenya wanauzwa kama ndio Main meal sisi kama chachandu. Je inawezekana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mobutu nae alijidai kupenda sana kijijini kwao mpaka akaamua kujenga ikulu ndogo kijijini kwao pamoja na kiwanja cha ndege. Ikulu hizi sasa hivi zimetelekezwa na zinajulikana kwa jina maarufu kama...
8 Reactions
42 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…