Tangazo la utalii wa Mlima Kilimanjaro, Kenya wanauzwa kama ndio 'main meal' sisi kama 'chachandu'


mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,306
Likes
1,007
Points
280
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,306 1,007 280
Asubui hii kwenye matembezi nkmekutana na hili Tangazo kuhusu utalii.

Nimefarijika ila kuna jitihada zaidi zinahitajika, Kenya wanauzwa kama ndio Main meal sisi kama chachandu.

Je inawezekana tukanya dili na hizi travel agency vilete watalii direct bila kupitia Kenya?

Maana tukitapa hiyo £2339( kama mil 6.7) kwa kila kichwa itakuwa ni faraja sana kwa uchumi wetu.

991e656d668126d3af4c9498a249823b.jpg


bf0b0ba963ee8358d786a4c7c6915d2a.jpg


a5d3cd4c8b5d58be007d08e1955d444c.jpg


94bf093d805029f20a95f48b1a34e5e3.jpg
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
3,448
Likes
6,366
Points
280
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
3,448 6,366 280
Kenya wanatumia fursa vizuri sana, nakumbuka kama c juzi ni jana kuna tv ya Msumbiji nilipita tu kwa bahati mbaya nakuta habari ya mlima kilimanjaro nchini Kenya, nikazima nikaenda zangu kulala na usigizi wenyewe haukuja
 
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Messages
1,306
Likes
1,007
Points
280
mpita-njia

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2010
1,306 1,007 280
Kenya wanatumia fursa vizuri sana, nakumbuka kama c juzi ni jana kuna tv ya Msumbiji nilipita tu kwa bahati mbaya nakuta habari ya mlima kilimanjaro nchini Kenya, nikazima nikaenda zangu kulala na usigizi wenyewe haukuja
Hapo utakuta kwenye hizo 15 days. Watalii wanakaa Tanzania siku 1 au 2, zilizobaki wanakuwa Kenya.
 

Forum statistics

Threads 1,238,315
Members 475,877
Posts 29,315,733