Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mbunge wa jimbo ni mtu mkubwa sana na ameenda bungeni kuwakilisha na kutetea masilahi ya wananchi wake. Lakini mbunge akifika bungeni kwenye kutetea maslahi ya wananchi anapata kikwazo cha...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Aliyekuwa Mr.ofisa wa BOT Amatus Liyumba yupo katika timbwili zito na mkewe kwa kugombania hekalu,Liyumba anataka kuiuza lakini mkewe hataki kwhyo sakata limetimba mahakamani. =======...
2 Reactions
70 Replies
20K Views
Habarini Nchi yetu inaamini kuwa hakna aliye juu ya sheria na je hawa askari wako juu ya sheria au wanaogopwa? Cheti feki ni feki hadi mbinguni wafukuzwe tu ltakalo tokea basi bwana,double...
6 Reactions
69 Replies
6K Views
Ni dhahiri hakutakuwa na nyongeza ya mshahara mwezi huu wa NOVEMBA/2017,hii ni kulingana na majibu ya Mh. Wazir Mkuu leo bungeni akijibu swali la Mbunge wa Kilindi lililotaka jibu la serikali...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakuu. Kwenye top five investors wa Tanzania wakenya wapo, naomba mahusiano yetu kibiashara yaimarishwe kwani umuhimu wa kenya na tanzania kwenye biashara ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wasafiri ambao nimewahi kujiuliza masuali kadhaa kuhusiana na tabia yao ya kutobeba mizigo mingi pale wanaposafiri kwenda nje ya nchi na kurudi, khasa kwa kutumia zile ndege za...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Kwa wakazi wa Mwananyamala na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam kuweni na tahadhari na mda na njia mnazopita. Siku ya jana wamesumbua watu maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa kwa kuwapora...
6 Reactions
72 Replies
7K Views
Habari iwe nanyi, Ndugu zangu hawa watu wa UDART wana madharau makubwa sana kwa wananchi wa nchi hii. 1. Madereva wa mwendokasi wananyanyasa sana abiria, yaani wanaweza kuamua kwa makusudi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Serikali imesema inaandaa mwongozo wa msamaha wa matibabu kwa watu wenye ulemvu wakiwemo watu wenye Ualbino. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Vijana ,Ajira na...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Kama mada isomekavyo hapo juu ningependa kujua kwa nini serikali imeamua kuwa miaka 25 kushuka chini ndo wenye nguvu za kufanya kazi? Tumeshuhudia takukuru wakitoa nafasi za kazi na targeted...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Habari wanajukwaa, Naomba kwa anaefahamu faida za leseni tajwa kwa mtu mwenye fani ya umeme maana watu wengi wamesoma ila mwamko wa kuchukua leseni sio mkubwa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam,limesema kuwa tarehe 6, Novemba mwaka huu maeneo ya Serengeti Kigamboni lilipokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, nimetoka Tegeta saa 6:30 asubuhi hadi muda huu nipo Afrikana na huku nikielekea Kariakoo,sijui nitafika saa ngapi? Kwa yeyote aliye na ukaribu na askari wa usalama barabani awataarifu...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kwa yeyote anayejua jinsi ya kudownload miziki kutoka YouTube.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Kuna vitu watu huwa hwavijui lakin vina umuhimu mkubwa sana nyuma ya pazia Fimbo ya kuulia nyoka ni muhimu...
2 Reactions
107 Replies
15K Views
Ndugu wanajamvi, Mimi ni miongoni mwa watumishi ambao nilistahili kupanda daraja tangu April 2016. Ndugu zangu wakipandishwa madaraja. Je nitalipwa tokea nilipostahili kupanda daraja au...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jumla ya kaya 19 zenye wakazi zaidi ya 100 katika kijiji cha Mipeta kata ya Mhukuru wilaya ya Songea mkoani Ruvuma zimekosa makazi ya kuishi kutokana na nyumba zao kuezuliwa na zingine kubomolewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati nikijifunza zaidi kuhusu Ndoa Za mitala katika dini na imani mbali mbali kupitia mtandao wa wikipedia, nimegundua kuwa katika Ukristo walutherani wanaruhusiwa kuoa wake wengi. Luther...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfanyabiashara, Ndama Shabani Hussein (Pichani katikati) maarufu kama Ndama mtoto ya Ng'ombe amekiri mahakamani kosa la kutakatisha zaidi ya billioni 1.2. Ndama anadaiwa kuwa Februari 20, 2014...
2 Reactions
283 Replies
40K Views
Back
Top Bottom