Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hebu tupeane mawazo wadau mpka sasa unafikiria nini cha kufanya ili kupambana na hali ya maisha. Maana hali imekuwa ngumu kinoma Mimi upande wangu Nina mpango wa kuachana na pombe kipindi hiki...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
1.Wangekaa kimya kama walivyoamua kukaa kimya hivi sasa au wangemuita fisadi na mbinafsi? 2.Je,wasingetaka kuandamana nchi nzima? 3.Je,mtu kama Polepole au Nape leo hii angesema nini? 4.UVCCM...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
inasemekana ameeza kumchezea huu mchezo bosi wake kwa miezi 6. Arobaini ilifika pale "Ngolo kante" aliposimama wakati amevaa kanga mbele ya bosi. Unaambiwa bosi alicharuka alijia jamaa kaja...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Taarifa ya ajali iliyotokea mchana huu kwenye mkoa wa Kilimanjaro eneo la kikavu kwa Sadala baada ya Gari la maji ya Kilimanjaro ambalo ndio chanzo cha ajali, kulipita gari jingine na kugongana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amekiri kuwa maeneo mengi ya umma hayajapimwa na yamekuwa chanzo cha kuvamiwa na wananchi wasio na nia njema lakini amezitaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HABARI. Nimekuwa nikisikia watu ktk mazungumzo kuwa hifadhi ya barabara ni mita 120, wengine 60 na wengine na namba zao ilimradi tu kila mtu kasema lake. Je hifadhi ya barabara ni umbali gani toka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Polisi wamewakamata wakazi wawili mkoani humo Dorith Urassa na Filbert Lymo kwa kukutwa na mali za wizi, pia wapo wengine wawili wakazi Kimara jijini Dar wanatafutwa kwa tuhuma za wizi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Nafanya utafiti mahala nataka kupata idea tu juu ya maamuzi yetu juu ya matumisi ya social media platform. Hivi ni kigezo gani kinakufanya utumie facebook badala ya twitter or instagram...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
ATUPWA JELA MIAKA MITATU • Ni baada ya kukutwa na hatia ya utapeli wa ajira kwa watu 144 Na Audrey Mgalama, BAABKUBWA Kapeele Mpundililwa ambaye ni mkurugenzi wa shirika la umoja wa watu wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya wanafunzi wa kike kuitwa “Baby” kwa madai kuwa ni chanzo cha kujiingiza kwenye mapenzi. Tamko hilo amelitoa kwenye ziara yake ya...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Jamani nimechoka kuishi sehemu moja ! Nawaza hapa ni ka mkoa gani kazuri ka kwenda kukaa walau siku 5! Niliwaza niende Zanzibar naambiwa December ni kwa moto, hapa nimekaa nawaza hata kazi...
11 Reactions
266 Replies
22K Views
Kuna threads ambazo zimekuwa zikianzishwa wengine kwa haraka wana ona kama ni za kipuuzi au za kijinga. Lakini utagundua wengi hawasomi kwa akili. Wanasoma kwa surface reading not between the...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika kipindi cha runinga ambacho huandaliwa na Twaweza kwa kushirikiana na JamiiForums, amesema ili kulinda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati taifa likijinasibu kujenga nchi ya viwanda bodi ya mikopo inafanyakazi zake bila kulijua hili hata kidogo. Badala ya kutoa mikopo kwa kuzingatia malengo haya ya taifa wao wanatoa mikopo...
1 Reactions
2 Replies
683 Views
Tafiti zinaonyesha kuwa familia ambazo zinakula chakula pamoja zinapata faida nyingi. Kula pamoja kunaimarisha mawasiliano na mahusiano ya watoto na wazazi. Watoto ambao wanakula chakula pamoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa Tangazo kutoka ofisi ya Makamu wa Rais lililosambazwa kwa vyombo vya habari , na kusainiwa na Mhandisi Joseph Kizito Malongo, ambaye ametajwa kama KATIBU MKUU . Mytake - Huko...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii idara inashughulika na utoaji wa leseni bila kutoa hongo hakuna msaada wowote. Watu wanaotafuta leseni mpya au wanotaka ku-renew leseni mpya wamekuwa wakihangaisha wateja kwa muda mrefu...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
kiongozi ni dira ya wananchi wa eneo husika,kiongozi anapokuwa na maona mazuri ndivyo anawaongoza watu wake kuwa na maono mazuri,yeye ndie hutoa automatically mwelekeo wa kimaono wa watu wake wapi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunajua sasa hivi kuna wimbi kubwa la kufunguliana mikesi ya madai kwa watu maarufu. Na kwa miaka kadhaa sasa namuona bwana mdogo Ben Pol kila akipanda kwenye jukwaa la fiesta lazima aimbe wimbo...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Tumeshuhudia vifaranga kutoka kenya wakiteketezwa kwa kuchomwa moto kwa amri ya mamlaka za serikali ya tanzania! Tumepewa sababu ikiwemo kuzuia uwezekano wa maambukizi ya magonjwa ya mifugo na...
0 Reactions
2 Replies
912 Views
Back
Top Bottom