Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

Tuliosomea kwa Putin na Medvedev tukutane hapa

Mmh! Si mpaka niende huko bila nauli? Niagizie nauli na balimi mbili za baridi ili kuushawishi mkojo! Au mmeacha kupima mikojo?


Mkojo ndiyo kitu cha kwanza kuchukua kabla hata ya kuvua viatu na kutoa mkanda.


Kwa hiyo, jikabidhishe pale Central Police mapema.
Nauli, usisumbuke sana hebu , panda gari yoyote yenye plate namba za "PT" utafika mahala salama.
 
MIE nilikuwa rudn kuanzia 2008 namkumbuka yule rector Slava katika African section. Karibuni hapa tufahamiane na tujikumbushie out good times at Moscow and Sankt Petersburg

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahahahaa, mkuu umenikumbusha mbali balaa, kumbe na wewe mzee wa mapadrushka?
Ulikuwa unamboji block gani? Mimi block ten.
Naona umezimiss gretchka, ama?
 
Back
Top Bottom