UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi wadau nimepanda ekari tatu za mahindi ya kuchoma kuna panya wadogo wekundu wanakula mbegu nilizopanda Kwa mstari.Usiku ukiwasha tochi unaona macho yao kama ya paka wamenipa hasira nimewawekea pumba wanaziacha wanakata majani na kula punje[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji82] [emoji82] [emoji82]