Singida: Land Cruiser yagongana Uso kwa uso na Basi la kampuni ya Taqwa, Wawili wapoteza maisha

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Ajali imetokea mchana huu maeneo ya Kideka, Wilayani Ikungi mkoani Singida kati ya gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili za T862 DJW kugongana uso kwa uso na basi la Taqwa lililokuwa linatokea Kampala.

Watu wawili wamefariki dunia.
aja1.jpg
aja2.jpg
aja3.jpg
aja4.jpg
aja5.jpg
aja6.jpg
aja7.jpg
aja8.jpg
aja9.jpg
 
Toyota landcruiser Limeacha njia na kuligonga bus?!!

Hilo bus lilikuwa linatembelea nje ya barabara eti?
 
Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Land Cruiser kuacha barabara na kuligonga basi la kampuni ya Taowa Coach, ajali hiyo imetokea leo katika eneo la kijiji cha Kideka wilaya ya Ikungi, Singida.
Edit tafadhali
 
Kutoka Kwa Rafiki yangu aliyeko eneo la tukio

Ajali mbaya sana imetokea hapa kideka, ikungi singida kati ya land cruiser T862 DJW na bus la Taqwa la kampala.
IMG-20171111-WA0034.jpg
 
lazima Kuna Watu watakuwa wamefaliki Hapo.
Mwenyezi Mungu azilaze Roho za Marehemu Mahara Panapo stahili.
''poleni san Wafiwa''
 
Watu wamekufa,mali zimepotea 9Kwa wale wafanyabiashara wanaonunua mizigo kampala), magari yameharibika na safari IMEKUFA.
 
lazima Kuna Watu watakuwa wamefaliki Hapo.
Mwenyezi Mungu azilaze Roho za Marehemu Mahara Panapo stahili.
''poleni san Wafiwa''
Kuna uzi umesema watu 2 wamefariki,na Kilimanjaro ajali ya Noah tumepoteza binadamu wenzetu wanne
 
Back
Top Bottom