nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Kkkkk
Wnakosesha mapato taifa kwa kuminya ajira za vijana hii fani si ndo unaweza kuajiliwa au kujiajili!!Ni kweli naunhana na wewe walete hapa ili serikali iliangalie upya kwani inawezekana ni kuwacheleweshea watu ajira tu kwa roho mbaya za baadhi ua watu haiwezekani wanasheria wanasajiriwa 600 halafu wanafaulu 30,kisha wanasupp 220 na wanadisco 350,kuna kitu walete hapa hoja ili zijadiliwe na kuzifanyia kazi ikiwezekana ifutwe tu hiyo shule
Mkuu utazunguka sana ila jibu ni moja, umefeli kwasababu hukusoma au hukuweka juhudi! msianze kuzunguka na kuruka ruka hapa haitawasaidiaKuna mawakili ambao hawakupitia shule ya sheria walifanya mitihani ya baa tu ni wazuri kuliko hata waliopita huko,lissu mwenyewe hakupita shule ua sheria alifanya mitihani ya baa,kwa akili yako huelewi nini kinachojadiliwa hapa kwa Tanzania wanaofeli mitihani ni huwa hawana akili bila kuangalia kwanini wanafeli,kwaakili yako hiyo huna utetezi juu ya hili,waache wenye uelewa wajadili.....