kiwiko
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,341
- 2,220
-Ulinzi dhidi ya mwanga hatari wa jua. Jua linatoa miale ya UV ambao unaharibu ngozi. Watu wenye rangi nyeusi wana protin ya melanin nyingi inayokinga ngoz dhidi ya miale hii. Kwa wasio na melanin ya kutosha inabidi wajikinge kwa kofia au mafuta special.
-Ulinzi dhidi ya joto na baridi. Kupitia melanin ngoz inalindwa dhidi ya uharibifu unawezaletwa na joto au baridi pia na kutunza afya ya ngozi.
-Uwezekano mdogo wa kupata kansa. Hapa tunaongelea kansa ya ngozi. Kutokana na ulinz dhidi ya miale hatari ya jua ni ngumu kwa ngoz nyeusi kupata kansa.
-Ulinzi wa mfumo wa neva. Melanin inachangia ulinzi wa mfumo wa neva dhidi ya parasites wanaoshambulia mfumo huo. Watu weupe wanahatar zaidi ya kupata magonjwa ya neva kuliko wale weusi.
-Ulinzi dhidi ya magonjwa. Melanin husaidia kuimarisha ulinzi wa mwili. Askari weupe kwenye msitu wanahatari ya kupata magonjwa ya ngoz kuliko wale weusi.
-Ulinzi dhidi ya bacteria. Sehemu za mwili zinazokuwa na bacteria zinakua nyeusi yaani na melanin nyingi kama sehemu za siri na zinginezo ili kutoa ulinzi dhidi ya bacteria.
-Mwisho inakufanya kuwa kijana. Ndio. Wamarekani wanasema Blacks dont crack wakimaanisha watu weusi ngozi haijikunji kuzeeka haraka. Mwangalie Usher Raymond, Samuel Etoo, n.k then angalia age mate wao wa kizungu utapata jibu. Mcheki JK rais mstaafu pia. Mcheki Obama.
Wataalam wataelezea vizuri nilichokisema hapo juu kutokana na kusoma kwangu vyanzo mbalimbali.
Ushauri wangu hasa kwa dada zetu jipendeni rangi zenu asili. Kuwa hivo kuna maana kubwa nyuma yake na wala sio bahati mbaya.