Wafanyakazi wa Maxcom mwendokasi wako ktk hali mbaya sana, uongozi mnatengeneza tatizo kubwa sana.

Sawa watumie njia sahihi za kuomba stahiki zao

Njia sahihi ni pamoja na wewe kuwaonyesha hiyo njia. Matatizo ya kampuni hii hayajaanza leo.

Maxcom na mishahara ya wafanyakazi wake (Cashiers)

KAMPUNI YA MAXCOM HAIJAWALIPA WAFANYAKAZI WAKE (CASHIERS) MISHAHARA YAO MWEZI WA PILI SASA NA WANAWAKATA MADENI !

SWALI
KAMA HAUJAMLIPA MFANYAKAZI MSHAHARA WAKE MIEZI MIWILI UNATEGEMEA ATAFANYAJE KAZI NA ANAISHIJE HAWA WATU MBONA HAWANA HURUMA???????????

NDUGU WANAJAMII TUWASADIE HAWA WATU WAPEWE MISHAHARA YAO MAANA UKIPAZA SAUTI (kama mfanyakazi) WANATISHIA AU KUKUFUKUZA KAZI KABISA????

NA HII NI KAMPUNI AMBAYO INAINGIZA MABILIONI YA SHILINGI SASA INSHINDWAJE KUWALIPA PESA ZAO WAFANYAKAZI?????
 
Mpaka hapo wameshafeli jaribio, mwezi wa nne hujalipwa mshahara na unamudu kuendelea na kazi? Unganisheni ......
 
Kama toka mwezi wa nne hawajalipwa au kama kweli wana miezi minne hawajalipwa na wanaishi Darisalama na hakuna initiatives zozote zakudai madai yao bass wajitangaze kua wafanyakazi wa kujitolea tu
 
Back
Top Bottom