Mawakili wa upinzani


1974hrs

1974hrs

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
723
Likes
484
Points
80
1974hrs

1974hrs

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
723 484 80
Habari ya jioni wanajamvi

Naleta uzi kuomba mwongozo kwa jambo lilotokea hivi karibuni.

Nakumbuka mh Diwani wa Mbagala na mwenyekiti wa Yanga alipokuwa na kesi ya madawa alimtumia wakili mwenye element ya upinzani nchini akakosa dhamana kwa muda mrefu lakini alipomuondoa katika uwakilishi kwenye kesi yake akapata dhamana na kesi yake ikamalizika kabisa.

Sasa leo nimeona Lulu michael akihukumiwa kwa kesi ambayo ilisimamiwa na wakili mwenye harufu ya upinzani wa kisiasa na chama tawala.
Mpaka muda huu natamani nione rufaa yake inashughulikiwa na wakili anayeunga mkono chama twawala ili asalimike na kifungo.

Hisia hizi zimekuja kama mfano kwa kuwa hawa ni macelebrities but kuna watu sio maarufu wanawatumia mawakili wa aina hiyo kesi zao zimekuwa ngumu sana.

Wanajamvi je hizi ni hisia zangu tuu au na nyie mnahisi kama nihisivyo mimi.

Karibuni ukumbini

HM
ed4fd90ad5e9d92426678e071c6c16b0.jpg


Dady is coming i dont no from where!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,212,898
Members 461,819
Posts 28,458,936