Mchungwa kamwe hauwezi zaa papai
Wazungu husema "gabege in, gabege out "
Huwezi panda, kutojiamini, mashaka, uvivu, chuki, fitina, majungu na wanafiki
ukategemea kupata watu wanaojiamini, wenye bidii, wenye matumaini, upendo na wavumilivu.
Masikini wengi, wametokana na mbegu zaifu, mazingira mabovu wakiwa tumboni na hali duni katika malezi ya utoto wao.
Hili kumepelekea kuwa na kizazi cha ajabu kabisa, kisochotambua utu, thamani ya uwajibikaji na kujiamini.
Umewahi jiuliza kwa nini makanisani wamejaa watoto, masikini, wenye ulemavu na mapungufu mengine ya maisha?
Jibu rahisi ni kuwa, tunafunzwa kutojiamini, kutowajibika na kuishi kwa kuonewa huruma. Ndo maana tunaamini tukeshe tunaomba ila hatuna ujasiri wa kukesha tukisoma na kufanya kazi ili kutatua changamoto zetu.
Kile uchowekeza katika maishani ndivyo unavyokuwa .
Kuna watoto wengi walikosa lishe bora utotoni, maisha yao ukubwani ni kama malofa kabisa, hawajui kutafakari na wala hawana mpango wa kutumia akili zao kuboresha maisha yao. Kifupi ni vilaza kweli.
Nchi nyingi za dunia ya watu, watu wake hata uwezo wao wa kufikiri ni duni ili kwa sehemu uchangiwa na hali duni wazozipitia toka mimba zao zinatungwa, changamoto pindi walipokuwa tumboni hadi kipindi cha utoto wao.
Hivyo wengi kutokana na misukosuko hiyo hata akili zetu zimeathirika hata hatuwezi kukabiliana na changamoto za maisha.
Wazungu wanachotuzidi ni mazingira ya makuzi tu, yanowapa advantage over us.
Boresha mazingira ya mtoto wako ili uniandalie future bora.