Kutohuishwa (outdated data) kwa watumishi portal

mwanamakole

Member
Dec 3, 2015
91
94
Kwa wale wenzangu na mimi, watumishi wa Serikali walojiunga na watumishi portal.

Taarifa katika kipengele hiki bado ni za tangu april 2017. Ilipoanzishwa wahusika walikuwa wakijitaahidi kuhuisha taarifa za karibu kila mwezi. Lakini baada ya April hadi leo taarifa hazijabadilika, mwenye kufahamu nini sababu atujuze.

Nawasilisha
 
majipu mengne yameota matakoni inakuwa ngumu kuyaona! ila kuna cku yatapasuka na kuchafua mitaa ya kunduch na viunga vyake! huyo anaye update data cjui mjamzto maana mpaka aamue!
mfano sahv slip za octoba hajaweka
 
Back
Top Bottom