TABOA NA UWADAR wadai hawajatangaza mgomo wa mabasi Jumanne


miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,547
Likes
2,641
Points
280
miss zomboko

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,547 2,641 280
Chama cha wamiliki wa mabasi TABOA na chama wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam-UWADAR-wamesema hakutakuwa na mgomo siku ya jumanne na wataendelea kutoa huduma ya usafiri nchini nzima kama kawaida mbaka mkutano mkuu wa taboa unaotarajia kufanyika siku ya jumatano utakavyoamua.

Akizungumiza na vyombo vya habari kutokana na kuwepo kwa taarifa katika mitandao ya kijamii inatangaza maamuzi ya mgomo wa mabasi, mwenyekiti wa UWADAR Bwana Kismati Jaffar amesema kipande cha video kinachirishwa mitandaoni ni tukio ya mwaka jana, na halina na uhusiano na mgogoro uliotangazwa TABOA dhidi ya SUMATRA hivi karibuni.

Akizungumzia kanuni inayoleta mgogoro kati ya TABOA na SUMATRA, mweka hazina wa TABOA Bwana Issa Nkya amesema vyama hicho vinaendelea kusisitiza kutenganishwa na makosa kati ya mmiliki na dereva pamoja na faini ya shilingi lakini mbili na nusu ni kubwa sana.

Mkurugenzi wa huduma za sheria wa mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini-SUMATRA- Bi Tumaini Slaa amesisitiza kuwa kanunia hizo zimezingatia na kutenganisha majukumu na adhabu kati ya mmiliki wa leseni na madereva,huku kaimu mkurugenzi wa uthibiti wa usafiri barabarani Bw. Leo Ngowi amesema SUMATRA inawasiliana na TCRA ili kuchukua hatua dhidi aliyesambaza taarifa hizo.ITV
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,380
Likes
2,040
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,380 2,040 280
Hawa nao huwa hawaelewi hata hitaji lao hasa ni lipi?
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
10,401
Likes
4,869
Points
280
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
10,401 4,869 280
Kuuliza si ujinga, nimeona daladala nyingi zina namba iliyozungushiwa zikianza na mfano (S 123876 G), je hizi zinasimama badala ya nini
 

Forum statistics

Threads 1,249,423
Members 480,661
Posts 29,697,937