Bwana asifiwe wapendwa !
Vitabu vya Injili vimeagiza Wakristo kuihubiri Injili ya Yesu kwa watu wote na kuwafundisha kuishika kweli yote.
Cha ajabu, wote umtaja Yesu na kuamini katika Biblia, lakini unaweza shangaa kanisa moja na jingine, tena la dhehebu moja yaliyojilani hayana uhusiano mzuri.
Wachungaji wengine hata Hutuhumian kuwa mwenzake, amemuibia wakristo wake.
Kama kweli issue ni kutaka kuona watu tunamfahamu na kumfuata Kristo Yesu kwa uaminifu, vita vinatoka wapi?
Au mmetugeuza waumini kama mitaji yenu?
Daima ufalme uliofitinika katu hauwezi kusimama.
Katika hili jitathiminini na kuchukua hatua.
Karibuni kwa michango katika hili.