Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Njooni tuyajenge na kutoa shuhuda mbalimbali zitazowasaidia watu wasikurupuke ovyo kwenda nchi za watu wakijua watatoboa kiurahisi!mm nipo hapa bondeni kwa ex babu for ten years sijui Bongo ina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Mussa Asaad kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Jamani mimi na umwakalinga wangu najiuliza tu - hivi hizo expansion joints tulizoelezwa na wazee wa TBA kwa kawaida zinapaswa kuwaje, zig-zag vile kama tulivoona hizi za Dr Magufuli Hostels au...
10 Reactions
357 Replies
39K Views
Habari wapendwa. wakuu napenda kupata experience na ushauri toka kwenu. Nizaidi ya miezi nane nikiwa kwenye mahusiano na mdada mmoja. amekuwa akija kwangu mara kwa mara na sometimestunalala wote...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nchi imemshinda @jingalao cocochanel barafuyamoto Magonjwa Mtambuka
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari. Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja. Labda ni katika...
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Wana jamiiforum kwa wale wajuzi wa mambo ya movies Naomba kujuzwa kwa wenyeuutaalamu kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies huwa kina maana gani hasa je? Kisipo wekwa nn kitatokea ktk...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Inaashiria baadhi ya wasomaji wa haya magazeti ni wateja wazuri wa hawa wataalamu wa tiba asilia. Matangazo yanayoshika chati ni pamoja na; 1) Kuongeza nguvu za kiume 2) Kuleta mvuto wa mapenzi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jamani kuna vijana wa sheli ya GBP branch ya mbezi aisee wanapiga sana wateja Mfano ni mimi mwenyewe nimepigwa saa kumi na mbili hii, wadau mnaohusika chukueni hatua vinginevyo ipo siku mtasikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Raia Mwema ni gazeti la uchambuzi wa kisiasa na wakijamii lina wachambuzi waliobobea kama Mbwambo, Generali Ulimwengu, Majid Mjengwa, Chahali wa uskoch, Hemed yule mzanzibar, Ezekiel Kamwaga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu hivi tutapambana na hawa jamaa kiuchumi kama wataweza kufanya hii project. SISI URANIUM TUNAYO MADINI AMBAYO YANARUTUBISHWA ILI KUPATA MIOZI YA KUENDESHEA MITAMBO NI KINU TU NA HAKIPO...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hello, nimependa na wewe mwenzangu usikilize hadithi nzuri. Utafurahi naamini. Ili usipitwe na hadithi tamu na nzuri nyingi kama hizi, unakwenda download Hadithi App kutoka PlayStore kwa kubonyeza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) aliyefahamika kwa majina ya Kumbusho Dawson ameweza kuuonyesha ulimwengu mzima kuwa usomi wa chuo kikuu ni suala la Udadisi, Ujasiri na uchunguzi...
26 Reactions
110 Replies
13K Views
Habarini bandugu,Niko Mbeya maeneo ya Mbalizi kikazi,mida hii nikiwa nipo mahali najaribu kusahu FRUSTRATION zangu mara ghafla na kutana na bia dume zao za TBL bia BINGWA,kwa kweli nilikua sijui...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kituo kipya cha magari yanayosafiri kwenda mikoani Bukoba mjini (kagera) katika ujenzi na mkandarasi akiahidi kua hadi mwezi wa pili watakua washamaliza ujenzi na (stand) hiyo itaanza kufanya...
1 Reactions
15 Replies
50K Views
Wakuu Maisha ni mapambano ila kwangu mbona kila nachofanya kinaenda kombo yaani miloss tu, mpaka sasa nakata tamaa ya kufanya haya mabiashara, Hivi na nyinyi mliotoboa kwenye biashara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta nani na wapi hapa mjimwema kigamboni wanapofyatulia nguzo Kwa ajili ya fensi simu Kwa mawasiliano 0752334403 .
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba; Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima. Nipo kariakoo wapi ntampata...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Habari wakuu, kwanza nitoe pole kwa raia, viongozi na vyombo vya ulinzi kwa yanayoendelea kibiti. Hata kama kwa kosa gani bado halifanani na uhai wa mtu. Polisi wanauawa, viongozi wa kiserikali...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…