Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
Kwa kuwatahadharisha tu wale weekenders wezangu, epukeni kuweka mafuta pale hasa nyakati za usiku.
Kuna kaka mmoja yeye ndio bingwa wa kuchezea pump, baada ya kumshtukia alidai pump sio nzima ni mbovu na kuifunga muda ule ule.
Kwa anaemfahamu mmliki wake (Laseko) tafadhali amjulishe kuwa wafanyakazi wake si waaminifu.
EWURA tafadhali tunaomba mpite eneo lile mkague zile pump
Niliweza kupata picha kidogo ya muonekano wake..