Mwisho mwezi wa Saba.

Mwisho mwezi wa Saba.

Tanganyika1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
423
Reaction score
90
Kuna kipindi tuliambiwa ifikapo July tutakuwa tumekimbia mji kwenda kijijini kwa hiari.

Lakini sasa naona wameamua kutoa bonus kwa kutunga sheria ya kulipa kodi kwa mwezi mmoja.

Labda ni katika jitihada za kurekebisha mambo.........nawaza kwa sauti.
 
Hebu fafanua mkuu hapo kwenye kodi mwezi mmoja, ni kodi ya mapato au chumba? Umeandika kama vile wote tunajua.
 
Badala ya kufikiria kuboresha maisha ya watu wake yeye anatamani yawe mabaya zaidi. Kweli kiongozi aliyepungukiwa akili hutesa sana watu wake. Mithali 28;16.
Biblia haidanganyi
 
Back
Top Bottom