Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nategemea nisafiri kuelekea mbeya kwa usafiri wa treni. Kama kuna anaejua ratiba na bei zake tafadhali.
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wizara ya nishati imeendelea kushikilia msimamo wake kuwa hakuna mgao wa umeme nchini! Chanzo; AzamTV Sasa kauli yake anasema ni matatizo ya mashine kuwa ni mbovu zikitengemaa hali itarejea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanafunzi wa darasa la saba wameshindwa kufanya hesabu za darasa la pili baada ya kubainika ni asilimia 69 pekee wanaoweza kufanya hesabu hizo. Pia asilimia 48 tu ya darasa la tatu wanaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zaidi ya mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam, wameandika barua ya kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Dk Jacob Chimeledye na kudai kutoshiriki wala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana nilipita barabara ya kinondoni manyanya kwenda moroco ghafla nikasikia kishindo nyuma ya gari kijana aliyevaa viatu vya matairi(Roller shoes skating) kangangania bamba la gari langu na ufinyu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
salaam, Nipo hapa ofisi za manispaa ya dodoma kitengo cha ardhi zamani ikifahamika kuwa ni CDA dodoma. Ninachokiona hapa hakuna kilichobadilika tangu rais magufuli aivunje hii cda, migogoro na...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
huwa sielewi inahitajika TSH ngapi kuweka rami hiki kipande cha barabara ambacho karibu asilimia 75 ya daladala hupita. nimepita mitaa hiyo baada ya kutopita miaka mingi, nimekula poda hadi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani viwanja vya bwana mdogo makonda vp? Vimeishia wapi? Mbona kimya sana, watumishi wa umma Dar tujibuni mmeshapata?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Usafiri wa kwenda hospitali ni kitu muhimu sana na wakati mwingine ni dharura. Wenzetu wana mabarabara yanayowezesha magari ya wagonjwa kusafiri kwa haraka. Na bado hospitali zao zina...
1 Reactions
2 Replies
845 Views
Nauliza tu, labda humu wapo walio na majibu mazuri kuliko wale waliopo kwenye mamlaka husika. Kwamba, kwa kipindi kirefu kumekuwa na vurugu mechi kweye hii mifuko ya jamii. Mfuko wa LAPF umekuwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
bb
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Kenya na Rwanda hakuna kitu ambacbo mgeni atapata hata wakiruhusiwa kwenda huko bila visa. Kenya na Rwanda kila kitu kina mwenyewe, sio kama Tanzania kila kitu ni mali ya serikali. Bei ya...
20 Reactions
74 Replies
6K Views
Nina safari ya zaidi ya 6 months, kwangu naweza kumwachia dada yangu akae while am gone, ila siwezi kumwachia ndinga yangu kabsaa maana namjua, sina ndugu mwingne town hapa wa kumwachia, je kuna...
5 Reactions
212 Replies
16K Views
Vilio, Simanzi na Majonzi makubwa yametawala jioni hii katika Wilaya ya Ngara, Mkoani Kagera ktk Kijiji cha Murusagamba, baada ya kutokea kwa vifo vya Watu watatu. Vifo hivyo vinahusishwa na...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa mfano kuna beat naisikia redio tumaini sasa hivi kwenye kipindi cha kumbukumbu za kihistoria naipenda sana msaada please. kama nawe unahitaji weka yako hapa usaidiwe...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa miaka mingi njia ya majadiliano ya hoja zinazokinzana maarufu kama 'debate' imekuwa ni kivutio kikubwa kwa wasikilizaji, sio tu kwa mada zinazojadiliwa bali hata kwa namna na mtindo wa...
1 Reactions
37 Replies
6K Views
Jamani nimetumiwa msg hii -> ((( YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukpa@outlook.com. ))) Namba...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Kipindi hiki watajulikana...... Maana wote wanaohama hawana hoja za maana
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Zoezi la kukamata Cd,Dvd kwaa maana kwamba feki linaathiri uchumi wa vijana kwa kukamata mali zao ,serekali ichunguze vizuri ,tatizo sio cd fake tatizo ni juu ya tafsri ya filamu hizo, kwa kuwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom