Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amewataka wazazi kwa kushirikiana na walimu wilayani Kibiti na Rufiji, kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola juu ya kutoweka kwa wanafunzi zaidi ya...
Inasikitisha kuona hali ya kisiasa inavyoendelea ni kama Vyama Vikuu vya Kisiasa Nchini vimegeuka kama vilabu vikubwa vya soka Nchini.
Naamanisha Simba, Yanga na Wakati Mwingine Azam. Ushindani...
Kuna kitu nmejkuta nawaza tu hivi hawa wanaohamahama leo hii sababu tu ya mafanikio ya mwenzao sasa ingetokea wanaongoza taasisi kubwa zenye ushindani wa kibiashara si wangejkuta wanayapoteza kwny...
Wadau naomba kuuliza, mtu akipoteza kadi original ya gari anatakiwa afanyeje ili kupata nyingine? Na pia procedures gani anatakiwa afanye kubadilisha kutoka business use to private use.
Kazi ni Kazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi John Lukuvi,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ali Hapi na viongozi...
Hello!
Wapo wanasiasa wengi wanaokubalika nchini kutokana na sababu nyingi ikiwemo uwezo mkubwa wa kujenga hoja.Hata hivyo kwa upande wangu wafuatao ndiyo wanasiasa ninaowakubali.
A) Prof Kitilla...
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc).
Kitu...
habari wadau..
nimekubali kuanzisha biashara yako na kusimama mpaka ikue kubwa inahitaji akili nyingi kuliko kuwa professa au ceo wa shirika lolote..
zamani kabla ya teknlojia kukuwa waajiriwa...
Nimekua mpenz wa vichekesho mda mrefu vya nje na ndani ya nchi, moja katika wachekeshaji bora hapa nchini huwez kumuacha joti na legendary majuto, kwa sasa mc pilipili nae ameanza kuwasha japo c...
Kuna hili dawati nimekuwa nikilisikia lipo Polisi -Dawati la Jinsi na Watoto hivi hili majukumu yake ni Yapi Zaidi??
Mbona kama linafanya sawa na ambavyo Ustawi wa Jamii ni Jukumu lao...
Mwenye...
Tuna utitiri wa vyombo vya habari lakini habari nyingi zinazoandikwa ni za siasa, michezo na vibweka vya mastaa.
Utasikia leo huyu kahama chama, huyo kamjibu raisi vile, msanii huyu kazaa na yule...
Maombi ya Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza (DVN), Boniface Kwangu, ya kutaka mahakama izuie baraza la maaskofu kumfuta kazi hiyo yametupiliwa mbali na mahakama ya hakimu...
Natabiri lile kundi lilikuwa organised na marehemu Didas Masaburi litaibuka tena siku Dr slaa akirudi Bongo kuja kula kiapo,lengo likiwa lilelile kuonyesha kwamba chadema bila slaa ni dhoofu...
Wana jamvi, wapi naweza kupata ofisi za kampuni za kusafirisha mizigo kwenda Arusha, Kilimanjaro hapa Dar es Salaam, nina mzigo nataka niusafirishe na sijui hata kampuni moja. Msaada tafadhali!
Ninaomba kuuliza, ninahitaji kufahamu endapo mnufaikaji wa mkopo kutoka HESLB akaamua kukimbilia nchi jirani kutafuta ajira. Je serikali itamzuia asipate vibali vya kazi/work permit ya kule au...
Kwa kifupi tu naandika kitu, naomba utafakari kama great thinker mihemuko weka pembeni
Kipindi cha Kikwete, nchi iliingia kwenye beef mbili kubwa na Malawi na Rwanda ila katika mitandao haswa...
Sijawahi kuleta Uzi kwenu wadau ila nimehisi nna jambo lakuongea pengine wawili watatu wakaungana na mimi kwenye hili.
Kwanza ningeanza na maana ya neno lenyewe "UZALENDO"
UZALENDO ni ile hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.