Hi wiki nimeiweka mahsusi kumcheka

Hi wiki nimeiweka mahsusi kumcheka

Tatizo ni kwamba hata ukimcheka haitamsaidia kurekebisha, mi nampa msaada wa kuombewa anaouomba kila mara.
 
Walivyomfanyia Bro Lissu Yani. Cha kuuz hawana hata remorse. Hali yake ya mafao bungeni hawampi. Liliiba rambirambi bila aibu. Lazima achekwe tuu. Ajirekebishe na aungame sisi wabongo tutamsamehe la sivyo tutazidi kumcheka
 
Tatizo ni kwamba hata ukimcheka haitamsaidia kurekebisha, mi nampa msaada wa kuombewa anaouomba kila mara.
Pengo anamuingiza chaka!
Maombi yake yanazidi kumchanganya!
Mwanzo alikuwa anadhani ni mambo ya mpito lakini keshaona kuwa hali hii ipo na itaendelea kuwepo, keshaanza kuweweseka hadharani.
Frastuesheni bandarini.
 
Back
Top Bottom