Jana nilifanikiwa kupata aerial view ya zile hostel mpya zilizogharimu bilioni kumi, kweli nilisikitika sana kwa tule tujengo tolivyokaa kama nyumba za Tembe maarufu sana mikoa ya kanda ya kati...
Gwajima amesema sheria inaosema kubomolewa kwanyumba zilizo karibu na barabara ina utata mkubwa, na hata Marekani hawana hiyo
Ila amesema atakusanya wahandisi wake na wataenda kupima mita 90 na...
Habari za muda huu wakuu.
Kwa sasa nipo Kondoa ila mke wangu kasimamishwa na trafiki maeneo ya Mikocheni kwa Warioba aliomba vitu kadhaa ikiwemo leseni ya udereva, fire extinguisher, reflector...
Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Haroon Nyongo,amesema watanzania zaidi ya mia 600, wanatarajia kupata ajira katika kipindi cha mwanzo wa ujenzi wa mgodi wa kampuni ya Uranex...
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako...
Madai haya yaliyotolewa na mwanachama anayeitwa ikipendaroho kuwa TBS haifanyi kazi ipasavyo kwenye uzi huu
TBS wanarudisha nyuma utowaji wa mizigo bandarini.
Inaelezwa kuwa matumizi ya nishati asilia ni kichocheo kikubwa cha maambukizi ya mfumo wa upumuaji (Acute Respiratory Infection) ambayo yanaongoza kusababisha vifo vya watoto walio chini ya miaka...
Natoa rai kwa Wizara hii inayohusika na jinsia na watoto ambapo nadhani pia kitengo cha ustawi wa jamii ni idara iliyoko chini yake kuweka mkakati wa kuwasaidia hawa single mothers.
Juzi...
Wakurugenzi wa Kampuni ya Sixtelecom, Peter Noni na Dk.Ringo Tenga, Ofisa Mkuu wa Fedha, Noel Chacha na Mhandisi wa Kampuni hiyo, Rashid Shamte, wamefikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa...
Kiukweli had ifike 2020 kama upinzani hawajapata namna ..ni ngumu saana,..nafahamu kuna watu hawapendi kukubaliana na uhalisia na ukweli, ila kama hukubaliani basi sawa ila kuichomoa CCM...
Wakuu natanguliza salamu
Bila shaka mnakumbuka hili sakata la waliofukuzwa magomeni kota na baadaye Dr Magufuli akaamua zijengwe ghorofa na wahanga wapewe kipaumbele.
Sasa kwa vile imebainika...
Mchungaji wa usharika mmoja mkubwa jijini Dsm anataka kudhulumu kiwanja chetu baada ya kumuingiza mjini msimamizi wa mirathi...
Mbaya zaidi amejenga mgorofa wake na kutaka kutudhulumu.
Tunaka...
Wadau
Katika muendelezo wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM Mkuu wa Wilaya Arusha Mh. Gabriel Gabriel Fabian amekabidhi rasmi hundi ya Tshs 500 milioni ambazo ni kwa ajili ya mikopo kwa...
Akizungumza katika mahafali ya 19 ya Chuo cha Uhasibu Arusha, wakati akitunuku vyeti vya ngazi na kozi mbalimbali kwa wahitimu 1,324 mwishoni mwa wiki.
Dk. Kijaji alisema baadhi ya wataalamu wa...
MTOTO wa miaka saba aliyelelewa kama mtoto wa kike kutokana na maumbile yake kutoeleweka vema, baada ya vipimo vyote katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ameonekana kuwa ni mwanamume, hivyo...
Wadau
Jumla ya Mapadri 48 wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam wameandika barua kujiondoa chini ya ulezi wa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dk Jacob Chimeledya kwa madai ya kukosa imani...
Kila nikitazama huku na kule sioni tena zile nyodo za watoto wa kishua maana kitambo kile kupokonywa demu na brazamen anayekaa masaki ni jambo la kawaida,
Kwetu Uswazi mambo safi maisha yetu ni...
Wakuu mwenye namba za simu za Azam Tv nimelipia toka Jana saa tano asubuhi mpaka mida hii sipati chanel.
Kibaya zaidi wameniachia TBC tu ambayo sina cha kuwaangalia hawa jamaa.
Kwenye namba za...
Jamani naona kama hizi zama za sasa zimebadilika na sio tena zile za kusema kuwa ukimpa mtoto hela ya kula shule inamaanisha kuwa atakuwa mwizi. Maana leo nimepita shule moja ya msingi nikaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.