Kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Wana jamiiforum kwa wale wajuzi wa mambo ya movies Naomba kujuzwa kwa wenyeuutaalamu kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies huwa kina maana gani hasa je? Kisipo wekwa nn kitatokea ktk movies au madairekta wata Pata ugumu gani ktk kazi zao
Akhsante saaaaana
 
Nafikiri kinatumiwa ktk background ambayo naadae itakuwa "animated", sijajua kwa nini cha kijani. Wajuzi watatufahamisha.
 
Wana jamiiforum kwa wale wajuzi wa mambo ya movies Naomba kujuzwa kwa wenyeuutaalamu kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies huwa kina maana gani hasa je? Kisipo wekwa nn kitatokea ktk movies au madairekta wata Pata ugumu gani ktk kazi zao
Akhsante saaaaana

Hebu pekuapekua humu ndani ya JF, kuna uzi wenye swali kama lako ukiwa na picha na ulichangiwa na kujibiwa vizuri sana
 
Kitamba cha kijani (cha blue pia hutumika) ni kwa ajili ya ku replace background.

Mfano, assume unataka kuchukua video au picha ya mtu yupo beach lakini upo Morogoro hakuna beach.

Unachofanya, unapiga picha au video kwenye green au blue screen (unahakikisha hujava nguo ya rangi hizo) then unatafuta picha ya beach, so kwenye editing una replace ile green screen na picha ya beach, result inakuwa kama ulipiga picha beach.

Faida ya green na blue screen ni rahisi kuzi replace. Ukipaga bila green screen, background inakuwa na vitu vingi na inakuwa shida ku replace.
 
Ni kwaajili ya expansion joint ya background ya movie
 
Kwa kuongezea... Hizi screen zinakusaidia wewe ku command kwa urahisi..

Yaani utasema hivi: kwenye kila rangi ya kijana nataka patokee picha ya beach, basi kila ukijana utakuwa replaced na beach..

Na ndo maana hutakiwa kuvaa nguo ambayo inafanana na screen yako, maana vinginevyo hadi wewe utakuwa replaced na command husika.
 
Wana jamiiforum kwa wale wajuzi wa mambo ya movies Naomba kujuzwa kwa wenyeuutaalamu kitambaa cha kijani katika utengenezaji wa movies huwa kina maana gani hasa je? Kisipo wekwa nn kitatokea ktk movies au madairekta wata Pata ugumu gani ktk kazi zao
Akhsante saaaaana
Hutumika kama background utaiondoa uweke kiru kingine mfano vile vipindi vya tv ukiwa studio utakuta kuna kitambaa ila mtazamaji anaona kama nyuma ya mtangazaji kuna maneno au majengo.
Na siyo lazima kiwe green tu kinaweza kuwa hata blue, white n.k sema green ndo standard.
Kama kuna editing zozote mfano unaweza shoot video kwenye chumba ambapo kuta zitakuwa green kwenye editing zikaondolewa yakawekwa majengo okaonekana ulikuwa mjini mfano ni the matrix.
Imeshootiwa ndani kwa kiasi kikubwa
 
Ukichanganya na njano, tayari unapata rangi ya chama flani barani Afrika kinacho ongozwa na jamaa flani anaetokea huko ch...to
 
Mchakato unaitwa Green screening.. Unakusaidia kucontroll background... Unapokuwa nje na ungepeda MTU au actor aonekane porini unatumia blue screen.. Kitambaa cha blue maana ni rangi ambayo ukiitoa haiwezi kuathiri muonekano Wa mapori unless kuwe na Maua ya blue..

Cha kijani unakitumia unapotaka kufanya same thing katika mazingira yasiyo na ukijani mwingi.. Let say mjini..

Hii kazi ya kuondoa ule ukijani/ubuluu huwa inafanyika katika kompyuta kwa process inatwa chroma key...

Movie nyingi za CGI computer generated Images huwa wanatumia sana hizi technique.. Au kama unataka a great background kwenye YouTube video zako. Pia inakuwa na handy.
 
Hutumika kama background utaiondoa uweke kiru kingine mfano vile vipindi vya tv ukiwa studio utakuta kuna kitambaa ila mtazamaji anaona kama nyuma ya mtangazaji kuna maneno au majengo.
Na siyo lazima kiwe green tu kinaweza kuwa hata blue, white n.k sema green ndo standard.
Kama kuna editing zozote mfano unaweza shoot video kwenye chumba ambapo kuta zitakuwa green kwenye editing zikaondolewa yakawekwa majengo okaonekana ulikuwa mjini mfano ni the matrix.
Imeshootiwa ndani kwa kiasi kikubwa

Mkuu nielezee Zaidi kuhusu matrix,

Nini hasa ilikuwa story!!!.

Kwa nn unasema walipgia ndani wakati wanasema walijenga mtaa barabara na madaraja kwa ajili ya kuyaharibu kwenye movie!!.

Eti yale magari yaliyokuwa yanalipuka kwenye Matrix reloaded high way chase ni kweli au computer??
 
Katafute behind the scene ya matrix utaona sehemu kubwa wameigizia ndani kwenye kwenye chumba chenye kuta za green.
Kuna scenes ndiyo wanaharibu vitu kama magari na nyumba kadhaa lakini siyo kweli kwamba walijenga mtaa sijui na madaraja hiyo siyo kweli.
Ingia youtube search the making of mattix movie au matrix movie behind the scene
 
Hebu pekuapekua humu ndani ya JF, kuna uzi wenye swali kama lako ukiwa na picha na ulichangiwa na kujibiwa vizuri sana
Je Ndio huu Hapo chini uliokuwa unamcheka Sizonje nchi ilivyomshinda?
 
Back
Top Bottom