ntikanushwq
Member
- Nov 8, 2017
- 38
- 10
Habari wapendwa. wakuu napenda kupata experience na ushauri toka kwenu. Nizaidi ya miezi nane nikiwa kwenye mahusiano na mdada mmoja. amekuwa akija kwangu mara kwa mara na sometimestunalala wote mpaka morning. Nikiwa na mwenzangu kwenye yale mambo yetu huwa yy huwahi kufika kileleni na nimalachache tunafika kwa pamoja. Mwenzangu akishafika kileleni huwa hanijari tena wakati mwingina ananiacha kitandani na kwenda kuangalia moves na mara nyingi ninamuonya kuhusu hii tabia ila mwenzangu hanielewi. Leo kaja kuniaga baada ya kukaa kwa zaidi ya wiki 2 bila kuonana anataka kusafiri kikazi amenipa game ila tabia yake ile ya kutojari hisia zangu baada ya tija zake kaiendeleza. Mara nyingi anakuja kwangu tuna duu ila ananiacha na hamu. Nifanyeje niachane nae au nimsariti ili nikakate kiu yangu. USHAURI PLZ NAOMBA USTAARABU KWA TUUZINGATIE Kama hauna Cha kushauri pita tu.