Maisha ni kama mchezo

Maisha ni kama mchezo

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Maisha ni kama mchezo wa riadha yaani pale unapoona wenzako wanakata tamaa ndio fursa yako yakushinda ukiongeza juhudi,ooh maisha magumu!kwahiyo tujifungie ndani tusubiri kufa au tupambane na hali zetu!
 
Kwenye maisha huwa hatushindani... ila riadha watu huwa wanashindana.... maisha n kusaidiana mkuu
 
Back
Top Bottom