TRA, MWANZA: Huu ni ukusanyaji wa kodi au visasi binafsi? Mjitafakari

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,769
2,000
Kwa muda sasa kamanda mkusanya kodi PAMELA wa kitengo cha EFD amekuwa akihimiza utumiaji wa EFD kwa namna inayozidi mamlaka aliyopewa na sheria; anatukana wafanyabiashara na kuwababikizia ankara za uongo. Anaingilia hata utaratibu wa kiuongozi wa wafanyabiashara.

Amefika hatua ya kusingizia wafanyabiashara tuhuma chafu kama uuzaji wa madawa ya kulevya na mambo kama hayo. Inasemekana anapewa nguvu hizi na Meneja wake wa Mkoa.

Kwa ujumla utendaji wa namna hii hauna tija na bora ulekebishwe mapema.

Wafanyakazi wengi tra wanatumia lugha za kuudhi kama:
  • Munaisoma namba
  • Mulimchagua wenyewe
  • Ni mabunge yenu ya ccm yanayoimba ndiyoooooooooo huku hayana chochote wajuacho yaliyopitisha sheria
  • Kama huwezi funga biashara
 

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
14,885
2,000
Unajua kuchocheaa!
Eti wafanyakazi wa tra ni chadema, mnajua wazi sizonjee akisikia chadema anapata frustrations
 

jenerali kibibi

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,165
2,000
umevurugwa we
kwan MTU tra kuwa cdm n kosa?
peleka upuuz wa chuki mbali juha wewe

kwan n uongo hawo wabunge wenu std seven wanapitisha kwa mfumo wa ndioooooo
kwan n uongo hamuisomi namba?
kwan n uongo mliipenda wenyewe
ukipanda matembele utavuna matembele na sii vinginevyo
 

wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,784
2,000
comte,
Wewe ndo una chuki binafsi, kwani mnaambiwa uongo? ccm mliichagua wenyewe, sasa unamlilia nani?
Na bado kuna kodi ya kwenda chooni na kodi ya kucheka bila sababu inakuja,
 

jenerali kibibi

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,165
2,000
Wewe ndo una chuki binafsi, kwani mnaambiwa uongo? ccm mliichagua wenyewe, sasa unamlilia nani?
Na bado kuna kodi ya kwenda chooni na kodi ya kucheka bila sababu inakuja, .
hahahaha hii mifisi ilitegemea kupanda maharage then ivune ngano?
 

charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,395
2,000
Lipeni kodi acheni kulia lia mmezoa dezo kweli kweli,mlisamehewa kubomoleshwa nyumba msidhan mteremko huo kwenye kodi.Na mnashangaza kweli hadi leo EFD wengi wenu hamna.
 

jenerali kibibi

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,165
2,000
Lipeni kodi acheni kulia lia mmezoa dezo kweli kweli,mlisamehewa kubomoleshwa nyumba msidhan mteremko huo kwenye kodi.Na mnashangaza kweli hadi leo EFD wengi wenu hamna.
waache waisome namba walizoea mteremko fisi hawa
 

Blackjew

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
523
1,000
Aliyesema mtaisoma namba ni Chadema au CCM
Aliyesema mmeichagua wenyewe ni Ccm au Chadema
Anayepitisha sheria Bungeni Ccm au Chadema
Anayeongoza nchi Ccm au Chadema
Nimechanganyikiwa kabla sijaamini mlichoambiwa na dada wa TRA Mwanza ni kweli tupu na hakuna kibaya
 

Naytsory

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,176
2,000
Tumieni tu hizo mashine hamna namna nyingine, vinginevyo mfunge biashara. Au baba akisikia Mwanza kuna shida anaweza kutoa tamko la rehema kama alivyofanya kwa machinga na bomoa bomoa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom