Hivi ni nchi gani kwa Afrika ni ngumu kuiongoza?

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
652
1,000
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani baada ya bara la Asia, na ina zaidi ya nchi 50.

Kati ya nchi hizo, zipo zilizowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi na zipo ambazo hazikuwahi kushuhudia kitu kama hicho.

Aina ya watu Afrika, wanafana kwa kiasi kikubwa kitamaduni ila wanatofautina kielimu, kiuchumi na kihistoria.

Kutokana na tofauti za kiuchumi, kielimu na kihistoria, unadhani ni nchi gani Afrika ni ngumu kuiongoza na kwa sababu gani?
 
Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
20,606
2,000
Kenya ni ngumu uiongoza kwa upande huu Afrika Mashariki kwa kukumbwa na Visa vya Maandamano, Migomo ya Walimu, Wahadhiri wa Vyuo Vikuu, Madaktari, Ufisadi na mengineyo.
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,265
2,000
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani baada ya bara la Asia, na ina zaidi ya nchi 50.

Kati ya nchi hizo, zipo zilizowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi na zipo ambazo hazikuwahi kushuhudia kitu kama hicho.

Aina ya watu Afrika, wanafana kwa kiasi kikubwa kitamaduni ila wanatofautina kielimu, kiuchumi na kihistoria.

Kutokana na tofauti za kiuchumi, kielimu na kihistoria, unadhani ni nchi gani Afrika ni ngumu kuiongoza na kwa sababu gani?
Nchi zote ngumu kuziongoza, nchi simple ni moja tu SOMALIA.
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,295
2,000
Kenya nchi rahisi Tanzania kata umeme waambie unatoa mitambo ya miaka 40 wiki ijayo unawaambia tunaunganisha umeme mkubwa unakata tena ikipita sikukuu
 
  • Thanks
Reactions: Osu

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,587
2,000
Hakuna nchi ngumu kuiongoza kama Tanzania yaani Africa kiujumla

1: Tanzania's current economic growth rate is far too low.

2: Tanzania industrial development has been stalled since the 1970s.

3: The lives of most Tanzania are marred by poverty, hunger, poor education, ill health, and violence.

4: Every year more Tanzania live in urban slums.

5: Corruption, corruption, corruption.......
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,043
2,000
Rwanda kwasababu ina makabila mawili makubwa ambayo yashawahi kupigana. Nchi kama Rwanda ni sawa na moto unaowaka chini kwa chini unasubiri kuripuka tu. Hata kiongozi wa juu muda wowote anaweza poteza maisha. Kagame anastahiki sifa kuiongoza rwanda na kuitoa kwenye vita na kuleta maendeleo. Hakuna kiongozi mkamilifu lakini penye sifa papewe sifa yake.
 
Vumilika

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
928
1,000
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani baada ya bara la Asia, na ina zaidi ya nchi 50.

Kati ya nchi hizo, zipo zilizowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi na zipo ambazo hazikuwahi kushuhudia kitu kama hicho.

Aina ya watu Afrika, wanafana kwa kiasi kikubwa kitamaduni ila wanatofautina kielimu, kiuchumi na kihistoria.

Kutokana na tofauti za kiuchumi, kielimu na kihistoria, unadhani ni nchi gani Afrika ni ngumu kuiongoza na kwa sababu gani?
Nchi ambayo ni taabu kuongozwa ni Somalia, nadhani sababu ni ukabila.
 
goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,653
2,000
Zimbabwe
D.R.C Congo
Senegal
Gambia
Guinea equator Bissau
Mozambique
Uganda republic of museveni.
 
Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,633
2,000
Afrika ni bara la pili kwa ukubwa duniani baada ya bara la Asia, na ina zaidi ya nchi 50.

Kati ya nchi hizo, zipo zilizowahi kushuhudia mapinduzi ya kijeshi na zipo ambazo hazikuwahi kushuhudia kitu kama hicho.

Aina ya watu Afrika, wanafana kwa kiasi kikubwa kitamaduni ila wanatofautina kielimu, kiuchumi na kihistoria.

Kutokana na tofauti za kiuchumi, kielimu na kihistoria, unadhani ni nchi gani Afrika ni ngumu kuiongoza na kwa sababu gani?

Nigeria

  • nchi inayo ongoza kwa rushwa, ufisadi, na wizi wa kila namna
  • nchi isiyokuwa na amani na usalama, iliyo shamiri vitendo vya kigaidi na ujambazi
  • nchi iliyo gawanyika vibaya kwa misingi ya dini, kabila na kanda
  • nchi inayo ongoza kwa kuwa na pato kubwa la taifa stil watu wake ni masikini wakutupwa
  • nchi yenye kiwango kikubwa cha mmonyoko wa maadili
 
Sam bm

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
285
250
Tanzania ni moja ya nchi kuongoza kutokana na wananchi wake kupenda kulalamika bila sababu, wenyewe kila kitu ni kulalamikia serikali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom