Kwa hali ilivyo sasa, tutarajie shangwe nyingi sana kwa matatizo yatakayotokea

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
Kwa kifupi tu naandika kitu, naomba utafakari kama great thinker mihemuko weka pembeni

Kipindi cha Kikwete, nchi iliingia kwenye beef mbili kubwa na Malawi na Rwanda ila katika mitandao haswa hapa JF tuliweka itikadi zetu za kisiasa pembeni na ku mpa moyo Rais kwenye social media

The same thing hata Kagame, Museveni na Uhuru walipomtenga na kuanzaisha coalition of willing(COW). Ila sasa kuna kitu kinamea kwa kasi, mfano mzuri ni hii habari ya hostel feki za UDSM zimeanza kutoa nyufa. Nadhani wenyewe mmeona jinsi kundi moja linavyoshangilia na jingine likitetea kwamba hizo picha ni za sehemu nyingine

My Point is; Kwa hali hii inayoendelea nchini ya kunyanyasa kundi fulani na kubeba jingine kwa lazima kama vile mtoto mayai na mtoto wa kambo Tutarajie shangwe za kutosha katika failures ambazo binafsi natarajia zitakuja nyingi mpaka sehemu ya kuzihifadhia kutakuwa hakuna
 
Kwa kifupi tu naandika kitu,naomba utafakari kama great thinker,mihemuko weka pembeni
Kipindi cha JK ,nchi iliingia kwenye beef mbili kubwa,vs malawi and vs Rwanda ila katika mitandao haswa hapa JF tuliweka itikadi zetu za kisiasa pembeni na ku mpa moyo Rais kwenye social media
The same thing hata Kagame ,museveni na Uhuru walipomtenga na kuanzaisha coalition of willing(COW)
Ila sasa kuna kitu kinamea kwa kasi,mfanomzuri ni hii habari ya hostel feki za UD zimeanza kutoa nyufa,nadhani wenyewe mmeona jinsi kundi moja linavyoshangilia na jingine likitetea kwamba hizopicha ni za sehemu nyingine
My Point is....kwa hali hii inayoendelea nchini ya kunyanyasa kundi fulani na kubeba jingine kwa lazima kama vile mtoto mayai na mtoto wa kambo TUTARAJIE SHANGWE ZA KUTOSHA KATIKA FAILURES AMBAZO BINAFSI NATARAJIA ZITAKUJA NYINGI MPAKA SEHEMU YA KUZIHIFADHIA KUTAKUWA HAKUNA

chadema ni kiduchu sana sema wamejaa online na ndiyo wanaofurahia maovu, hata muovu mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Tundu Lisu amelaaniwa tayari, hivyo hata chadema watalaaniwa tu ni kujinyea kitandani mpaka mwisho wa maisha yao!
 
mbona mifano yako haina mfanano? mambo ya malawi, Rwanda na uganda unafanaisha vipi na mambo ya gorofa bovu la darsalamu? we kama vipi nenda chukua kadi ya chama cha kijani kuliko kutapatapa huku.
 
I think angefananisha na mtifuano na Kenya ingependeza
 
chadema ni kiduchu sana sema wamejaa online na ndiyo wanaofurahia maovu, hata muovu mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Tundu Lisu amelaaniwa tayari, hivyo hata chadema watalaaniwa tu ni kujinyea kitandani mpaka mwisho wa maisha yao!
Inzi wa kijani wanatifua kinyesi choo cha lumumba
 
mbona mifano yako haina mfanano? mambo ya malawi, Rwanda na uganda unafanaisha vipi na mambo ya gorofa bovu la darsalamu? we kama vipi nenda chukua kadi ya chama cha kijani kuliko kutapatapa huku.
POsts nyingine zinahitaji uwe great thinker kuelewa ,kama level yako ni ya facebook pita kushoto..okay?
 
chadema ni kiduchu sana sema wamejaa online na ndiyo wanaofurahia maovu, hata muovu mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Tundu Lisu amelaaniwa tayari, hivyo hata chadema watalaaniwa tu ni kujinyea kitandani mpaka mwisho wa maisha yao!
hajasema chadema kasema ni kundi la watu ambao hata huko ccm wapo....f........k youuuuuu
 
Viongozi wetu tuliowachagua wenyewe ndio wametugawa,ndani ya miaka mitano kutoka sasa sijui tutakua nchi ya aina gani mbele ya hii dunia kama tutaendelea kugawanya hivihivi.
 
Pale wanalala watoto wa kitanzania hawalali chadema pekee wala ccm pekee wala cuf pekee janga likitokea wote wanaumia bila kujali itikadi zao, so cha msingi ni serikali kuweza kulitatua tatizo mapema kabla majengo hayo hayajaleta madhara, na aliyejenga achukuliwe hatua za kisheria Mara moja kwa kujenga majengo chini ya kiwango, pia serikali iache kuingiza siasa kwenye mambo yanayohitaji utaalamu matokeo ndio kama hayo majengo yanakuwa chini ya kiwango,
Kingine: hata kama una itikadi tofauti hutakiwi kufurahia hizo cracks za hayo majengo eti kisa wewe ni wa chama tofauti na kinachotawala, unachotakiwa kufanya ni kuishauri serikali itatue tatizo mapema, na serikali nayo isikilize ushauri kutoka kwa watanzania wote bila kujali ushauri umetolewa na mwananchi wa chama gani, ni hayo tu watu wa mungu
 
chadema ni kiduchu sana sema wamejaa online na ndiyo wanaofurahia maovu, hata muovu mkubwa kuwahi kutokea Tanzania Tundu Lisu amelaaniwa tayari, hivyo hata chadema watalaaniwa tu ni kujinyea kitandani mpaka mwisho wa maisha yao!
ANYWAY,MUNGU AKUTAZAME KWA KADRI ATAVOONA INAFAA.AMEN
 
Pale wanalala watoto wa kitanzania hawalali chadema pekee wala ccm pekee wala cuf pekee janga likitokea wote wanaumia bila kujali itikadi zao, so cha msingi ni serikali kuweza kulitatua tatizo mapema kabla majengo hayo hayajaleta madhara, na aliyejenga achukuliwe hatua za kisheria Mara moja kwa kujenga majengo chini ya kiwango, pia serikali iache kuingiza siasa kwenye mambo yanayohitaji utaalamu matokeo ndio kama hayo majengo yanakuwa chini ya kiwango,
Kingine: hata kama una itikadi tofauti hutakiwi kufurahia hizo cracks za hayo majengo eti kisa wewe ni wa chama tofauti na kinachotawala, unachotakiwa kufanya ni kuishauri serikali itatue tatizo mapema, na serikali nayo isikilize ushauri kutoka kwa watanzania wote bila kujali ushauri umetolewa na mwananchi wa chama gani, ni hayo tu watu wa mungu
Ushauri??????hehehehehehehe kama CAG report inasema imetumika 54 billions huku tunadangnywa ni 10 billions,hao nni watu wa kufata ushauri kweli? tena ukijitokeza kutoa huo ushauri unakula za moto halafu wana lumumba wanakuja nyuma kama inzi wa kijani w chooni na kuanza kushangilia kusema ulikuwa na kiherehere halafu msaliti
 
Back
Top Bottom