Kumbe wanasiasa wengi sio wanasiasa.

Akili Pesa

JF-Expert Member
Jun 18, 2014
616
854
Kuna kitu nmejkuta nawaza tu hivi hawa wanaohamahama leo hii sababu tu ya mafanikio ya mwenzao sasa ingetokea wanaongoza taasisi kubwa zenye ushindani wa kibiashara si wangejkuta wanayapoteza kwny ramani ya biashara kwasabab tu kumsifia mfanyabiashara mwenzio.
Je hawa wanasiasa wameshindwa kujua ni namna gan ya wao kufanikiwa kisiasa kwa maana ya wao wamfanye yule mwenzao atumie mbinu nyngne zaid?
 
Back
Top Bottom