Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba kuuliza kama bado ni Lazima kuwa na kadi ya chanjo ya yellow fever unapoenda SA Pia naomba kujua kama kuna kingine cha ziada ukiacha passport yako Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
2K Views
www.youtube.com/watch?v=_rR_Rdb1CTE
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Wana JF kuanzia mwezi 10, 2017 hadi mwezi 11 mwishoni nilikuwa masomoni Malawi ila marafiki wengi na ndugu walijua niko around wakitaka tuonene nawachengesha sasa nimemaliza nimerudi leo hii...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
*MAAJABU YA SIASA ZA BONGO* Ni Bongo pekee ambapo viongozi wa *Chama Tawala* ambao badala ya kuisimamia Serikali na Viongozi wake ili watimize majukumu yao, wao kazi yao ni kusifu tuu kwa nyimbo...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kwa yeyote aliyekuwepo M city siku ya jana ilikuwa ni siku ya aina yake. Palijaa 'Chekechea' kutoka kila kona ya jiji hili... Selfie zilikuwa zinapigwa kila mahali. Nilifurahi pia kumuona...
8 Reactions
54 Replies
10K Views
Karibu ufuatilie mahojiano haya ambayo moja ya miradi inayozungumziwa ni ule wa Hostel za UDSM zilizoleta kizungumkuti jijini Dsm!
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari za asubuhi. Kuanzia juzi wateja wa airtel nikiwapo mimi tulikuwa tunatumiwa sms na kampuni ya airtel wakitujiza kuwa jana usiku kusingekuwa na huduma ya internet sababu ya maboresho...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ningependa kusema kuwa mimi ni mmoja kati ya wafanyabiashara ya forex. Sina muda mrefu kwenye hii biashara ila nimeweza kugundua changamoto kadhaa. Changamoto ya kwanza ni namna ya kuchukua pesa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Muda ni Rafiki kwa binadamu na muda huwa haungopi , Chochote kinachofanyika basi lazima kifanyike kwenye muda. Tupo Hawamu ya 5 sasa ya uongozi tangu Tupate uhuru kama watanganyika na leo hii...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amewataka wazazi kwa kushirikiana na walimu wilayani Kibiti na Rufiji, kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola juu ya kutoweka kwa wanafunzi zaidi ya...
1 Reactions
77 Replies
12K Views
nasubiri matokeo ya hii policy mpya ya ccm malaika wawashukie tu wasitumie ubabe wa police na jeshi ndo watajua impact ya iyo policy yao
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inasikitisha kuona hali ya kisiasa inavyoendelea ni kama Vyama Vikuu vya Kisiasa Nchini vimegeuka kama vilabu vikubwa vya soka Nchini. Naamanisha Simba, Yanga na Wakati Mwingine Azam. Ushindani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna kitu nmejkuta nawaza tu hivi hawa wanaohamahama leo hii sababu tu ya mafanikio ya mwenzao sasa ingetokea wanaongoza taasisi kubwa zenye ushindani wa kibiashara si wangejkuta wanayapoteza kwny...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
Wadau naomba kuuliza, mtu akipoteza kadi original ya gari anatakiwa afanyeje ili kupata nyingine? Na pia procedures gani anatakiwa afanye kubadilisha kutoka business use to private use. Kazi ni Kazi
0 Reactions
4 Replies
3K Views
UMASIKINI WAKO NI NINI? (Niliwahi kuandika October,06.2016) -UMASIKINI unanzia kupuuza unapoambiwa UKWELI na kuhisi anaekwambia sio saizi yako,lakini -UMASIKINI mkubwa ni Kukubali wewe ni...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Ali Hapi na viongozi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello! Wapo wanasiasa wengi wanaokubalika nchini kutokana na sababu nyingi ikiwemo uwezo mkubwa wa kujenga hoja.Hata hivyo kwa upande wangu wafuatao ndiyo wanasiasa ninaowakubali. A) Prof Kitilla...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Katika kipindi cha mwezi huu nimekuwa na safari nyingi za kutembelea mikoa mbali mbali (route ya Dar to Morogoro, route ya Arusha to Dar, route ya Mwanza to Dar, route ya Dar to Tanga etc). Kitu...
24 Reactions
101 Replies
10K Views
habari wadau.. nimekubali kuanzisha biashara yako na kusimama mpaka ikue kubwa inahitaji akili nyingi kuliko kuwa professa au ceo wa shirika lolote.. zamani kabla ya teknlojia kukuwa waajiriwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom