Dawati la Jinsia na Watoto---

Dawati la Jinsia na Watoto---

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,937
Kuna hili dawati nimekuwa nikilisikia lipo Polisi -Dawati la Jinsi na Watoto hivi hili majukumu yake ni Yapi Zaidi??

Mbona kama linafanya sawa na ambavyo Ustawi wa Jamii ni Jukumu lao...

Mwenye uelewa Mpana wa hili aliweke hapa
 
Hawana lolote wanaharibu tu watoto kwa kushindwa kutofautisha mazingira ya kiafrika na wazungu ,in watetea maovu tu .
 
Usiombe upelekwe kwenye hiyo kitu ya kuitwa dawati. Ni shida
 
Back
Top Bottom