Msaada: Kadi original ya gari

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Wadau naomba kuuliza, mtu akipoteza kadi original ya gari anatakiwa afanyeje ili kupata nyingine? Na pia procedures gani anatakiwa afanye kubadilisha kutoka business use to private use.

Kazi ni Kazi
 
iv unavyoenda polis lazma ulikumbuke jina la kadi ya alie kuuzia gari et kama umesahau kulipata jina unafanyeje?

Braza mbona kama kuna usanii humu.

Ina maana humjui aliyekuuzia gari au mliuziana njia panda, hakuna sehemu mliandikishiana, huna mawasiliano nae, hata dalali aliyewaunganisha huna mawasiliano nae?
 
iv unavyoenda polis lazma ulikumbuke jina la kadi ya alie kuuzia gari et kama umesahau kulipata jina unafanyeje?
Ina maana ulikuwa unatembea na kadi original ndani ya gari?

Hukuwa na nakala ya kadi original ndani ya gari?

Nadhani wewe huna gari, umeamua kuuliza tu swali hili.
 
Back
Top Bottom