Ninaomba kuuliza, ninahitaji kufahamu endapo mnufaikaji wa mkopo kutoka HESLB akaamua kukimbilia nchi jirani kutafuta ajira. Je serikali itamzuia asipate vibali vya kazi/work permit ya kule au atakua anakatwa kidogo kidogo kama huku wanavyokatwa?