Kazi za kuajiriwa ni nyepesi sana kuzifanya zama hizi za teknolojia ndio maana waajiri wanaringa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,568
2,000
habari wadau..

nimekubali kuanzisha biashara yako na kusimama mpaka ikue kubwa inahitaji akili nyingi kuliko kuwa professa au ceo wa shirika lolote..

zamani kabla ya teknlojia kukuwa waajiriwa walionekana muhimu sana kiasi hata ukifariki. mwajiri anapasuka kichwa jinsi ya kukureplace pengo lako.

zama hizi... magufuli akiamua anafukuza tanesco wote na bado haimchukui wiki shirika linarudi na new face na linasonga..

angalia jinsi alivyofukuza na kutumbua wengi lakini mambo yanaenda..

nawaza tu mtu kama diamond kuanzisha wcb kichwani mwake na kuisimamisha hadi kuwa kampuni unayotingisha africa ni ametumia akili nyingi kuliko prof muhongo kusoma au kimei crdb... nina imani hata angekuwa kaajiriwa bosi asingeweza kumtumbua diamond maana anajua akiondoka diamond wcb nayo inakufa... ila kimei akiondoka crdb.. bado crdb haitokufa
 
Balvejmumt

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,292

Itanichukua miaka 500 kuelewa ulichokiandika
 
dexterous

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
1,701
2,000
Kwann utengeneze mazingira ya kumtegemea mtu mwingine kiasi hicho.. Sasa wewe ndo utakuwa mwenye kampuni au yeye
 
luswaguty

Member
Oct 13, 2017
87
125
habari wadau..

nimekubali kuanzisha biashara yako na kusimama mpaka ikue kubwa inahitaji akili nyingi kuliko kuwa professa au ceo wa shirika lolote..

zamani kabla ya teknlojia kukuwa waajiriwa walionekana muhimu sana kiasi hata ukifariki. mwajiri anapasuka kichwa jinsi ya kukureplace pengo lako.

zama hizi... magufuli akiamua anafukuza tanesco wote na bado haimchukui wiki shirika linarudi na new face na linasonga..

angalia jinsi alivyofukuza na kutumbua wengi lakini mambo yanaenda..

nawaza tu mtu kama diamond kuanzisha wcb kichwani mwake na kuisimamisha hadi kuwa kampuni unayotingisha africa ni ametumia akili nyingi kuliko prof muhongo kusoma au kimei crdb... nina imani hata angekuwa kaajiriwa bosi asingeweza kumtumbua diamond maana anajua akiondoka diamond wcb nayo inakufa... ila kimei akiondoka crdb.. bado crdb haitokufa
Nadhani hizi ni akili za usiku
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom