Wanasiasa Wenye Uadilifu Usiotiliwa Shaka

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Hello!
Wapo wanasiasa wengi wanaokubalika nchini kutokana na sababu nyingi ikiwemo uwezo mkubwa wa kujenga hoja.Hata hivyo kwa upande wangu wafuatao ndiyo wanasiasa ninaowakubali.
A) Prof Kitilla Mkumbo
B) John Mnyika.
Wanasiasa hao wanazo sifa mbalimbali kama vile:-
1.Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye msingi kwenye faida kwa nchi
2.Uadilifu usiotiliwa shaka hata kidogo
3. Uzalendo uliotukuka
4. Msimamo usioyumba
5. Uvumikivu
6. Utu
7. Kutokukubali kuburuzwa
8. Wenye kuwa na tafakari ya kina kabla ya kuzungumza n.k
Ukweli wanafaa sana katika awamu hii iliyoamua kujikita kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na kutetea rasilimali za nchi. Nina hakika watakuwa wanasiasa tegemezi sana kwa Taifa letu siku zijazo.Mungu awape nguvu na uzima.
Aksanteni na karibuni sana.
 
Ukweli wanafaa sana katika awamu hii iliyoamua kujikita kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na kutetea rasilimali za nchi. Nina hakika watakuwa wanasiasa tegemezi sana kwa Taifa letu siku zijazo.Mungu awake nguvu na uzima.
Aksanteni na karibuni sana.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa akina nshomile
 
Hello!
Wapo wanasiasa wengi wanaokubalika nchini kutokana na sababu nyingi ikiwemo uwezo mkubwa wa kujenga hoja.Hata hivyo kwa upande wangu wafuatao ndiyo wanasiasa ninaowakubali.
A) Prof Kitilla Mkumbo
B) John Mnyika.
Wanasiasa hao wanazo sifa mbalimbali kama vile:-
1.Uwezo mkubwa wa kujenga hoja zenye msingi kwenye faida kwa nchi
2.Uadilifu usiotiliwa shaka hata kidogo
3. Uzalendo uliotukuka
4. Msimamo usioyumba
5. Uvumikivu
6. Utu
7. Kutokukubali kuburuzwa
8. Wenye kuwa na tafakari ya kina kabla ya kuzungumza n.k
Ukweli wanafaa sana katika awamu hii iliyoamua kujikita kwenye mapambano dhidi ya ufisadi na kutetea rasilimali za nchi. Nina hakika watakuwa wanasiasa tegemezi sana kwa Taifa letu siku zijazo.Mungu awape nguvu na uzima.
Aksanteni na karibuni sana.
Uko sahihin kwa vigezo kwa maana inawezekana ni wategemezi na si wakutegemea yaani inawezekana wana respond kwa remote
 
Back
Top Bottom